Nyota toka nchini
Nigeria, Peter Okoye wa kundi la P Square hivi kkaribuni kwenye
mahojiano yake amefunguka kwa kusema kwamba kamwe kundi lao halitokuja
kugawanyika kwa mmoja wao kufanya kazi peke yake (solo) huku pia
akieleza vile wanavyogawana kile wakipatacho.
Peter alisema: Haiwezekani! Tuko na furaha na tunagawana 50-50 kwa kila kitu. Hata kama tunafanya album sasa nami nikawa nahusika kwa kazi zote, Paul bado ataendelea kupata asilimia 50 yake. Wakati mwengine naweza andika wimbo na nikaimba vesi ya kwanza, sauti ya Paul inaweza kuwa haiko sawa kwenye vesi ya pili ila hutoweza kuona tofauti. Mtu pekee labda mwenye uwezo wa kutufanya tuwe solo ni mama yetu na ni kitu ambacho hakito wezekani.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!