Muimbaji toka Toronto, Canada, Justin Bieber anaendelea
kupamba vichwa vya habari vya magazeti na blogs duniani kwa misala
kadhaa inayomkuta. Lakini licha ya kuonekana kama alifanya kituko tu
kurusha mayai kwa jirani yake, sasa tukio hilo limebadilika na kuwa kosa
kubwa aka zito la jinai, yaani Felony kwa Kiingereza.
TMZ imeripoti kuwa, Sheriff (mtu anayehusika na kufungua mashitaka) wa Los Angeles, ameipeka kesi hiyo ya Bieber mahakamani na kwamba polisi wamependekeza mashtaka hayo yachukuliwe kama jinai nzito ‘Felony’.
Bieber anatuhumiwa na jirani yake kwa kurusha mayai kwenye nyumba yake na kusababisha uharibifu unaofikia gharama za $ 20,000.
Note: Felony ni makosa ya jinai makubwa kama yakiwemo makosa ya ubakaji na mauaji.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!