Nyota wa
filamu ya The fast and Furious, Paul Walker, 40, ambaye alifariki
kwenye ajali mbaya ya gari mwishoni mwa mwaka jana amemuachia urithi wa
mali zenye thamani ya $25 millioni mtoto wake wa kike mwenye umri wa
miaka 15, Meadow huku akimuacha patupu girlfriend wake aliyeishi naye
kwa miaka 7 Jasmine Pilchard-Gosnell, 23, ambaye walianza mahusiano
kipindi msichana huyo akiwa na miaka 16.
Wosia uliandikwa na muigizaji huyo mnamo mwaka 2001, ulisema Meadow Rain Walker ndiye mtoto wake pekee.
Kwa mujibu wosia huo, Paul alimtaja baba yake, Paul Walker III, kuwa ndiye msimamizi wa mirathi yake na mama yake Cheryl Ann Walker kama shahidi wa pili.
Kwa mujibu wosia huo, Paul alimtaja baba yake, Paul Walker III, kuwa ndiye msimamizi wa mirathi yake na mama yake Cheryl Ann Walker kama shahidi wa pili.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!