Mshambuliaji maarufu wa klabu ya
Yanga ya nchini Tanzania Mrisho ngasa ametumia akaunti ya mtandao wake wa Twitter kutoa sifa nzuri kwa
mshambuliaji wa klabu ya Simba Amisi Tambwe ambae ni raia kutoka hapa nchini Burundi ila ambae anachezea huko Tanzania. Ngassa pia ametumia akaunti
hiyo kuzungumzia changamoto alizokutana nazo kwenye soka kiasi cha
kufikiria kuachana na mchezo huo, huku akisema mechi ya Yanga dhidi ya
Mbeya City ni mechi kubwa sana kwenye kumbukumbu zake za soka na
alifurahia mno kushinda.
Home »
michezo africa
,
news
» EXCLUSIF...HUYU NDO MCHEZAJI MAARUFU WA SOKA KUTOKA NCHINI TANZANIA ALIE MSIFIA MCHEZAJI TAMBWE KHAMIS KUTOKA HAPA BURUNDI
EXCLUSIF...HUYU NDO MCHEZAJI MAARUFU WA SOKA KUTOKA NCHINI TANZANIA ALIE MSIFIA MCHEZAJI TAMBWE KHAMIS KUTOKA HAPA BURUNDI
Written By Unknown on Friday, 7 February 2014 | Friday, February 07, 2014
Labels:
michezo africa,
news
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!