![]() |
Hapa ni kaskazini mwa mjii mku Bujumbura ilivyo kuwa barabaranii |
![]() |
Barabara imejaa majii mpaka watu washindwa kupita |
![]() |
Barabara ya Dorsal inayo gawa Kinama na Cibitoke |
![]() |
Barabara itokayo Bujumbura ielekayo mkoani Cibitoke ca Rugombo |
![]() |
Upepo ulikuwa mwingi sana |
![]() |
Ukiona kwa picha utahisi huyu ni mtoni ila sivyo,hapa ni barabara |
![]() |
Hapa ndo pale tunapo paita ku Chanic napo pia hapakunusurika |
![]() |
Hapa ni ku Savonor ku kale ka mtoni nako pia kamejaa |
![]() |
Hapa ni nje ya OLD EAST |
![]() |
Kampuni ya OLD EAST yote ilijaa majii utahisi mtonii |
![]() |
Hapa ni ku OLD EAST,sehemu maarufu sana kwa maharusi ku Giti c'urukundo |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!