Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HUYU NDIE MWANAMUZIKI WA BURUNDI AMBAE AMEONEKANA KUKUBALIKA SANA NA PANDE ZA MIKOANI NA SHOW ZA HUKO KUJAZA

HUYU NDIE MWANAMUZIKI WA BURUNDI AMBAE AMEONEKANA KUKUBALIKA SANA NA PANDE ZA MIKOANI NA SHOW ZA HUKO KUJAZA

Written By Unknown on Tuesday, 4 February 2014 | Tuesday, February 04, 2014

Jina ambalo alilo pewa na wazazi wake ni Nzeyimana Thomas ama Mkombozi jina la sasa la usanii,ni kijana ambae amezaliwa kwenye maisha ya kawaida namwanzo wa ujana wake kuuanzia kambini nchini Tanzania,ni mzaliwa wa Makamba ni kijana mwenye upendo na mwenye kujuwa kuishi na watu acha kuwa mwenye huruma na wengine.
Mkombozi ambae ameweza kuuteka uma wa Burundi kwenye tasnia ya muziki hadi kuanzia kuwekwa kwenye ile horodha ya wanamuziki wenye vipaji na wasio achwa nyuma yani kila wanapo tajwa majina yao.
Ni mmoja mwa wanamuziki wa Burundi wenye mafaanikio ukilinganisha na vile alivyo anza na maisha aliyo anza nayo na ambavyo kwa sasa anavyo ishi.
Jama huyu ukilinganisha na wasanii wengine anakuja juu kuwa mwanamuziki ambae anapata shows kibao mikoani.Hivi karibuni jamaa huyu alikuwa pande za Rutana kishows inasemekana jamaa huyu aliweza kupokelewa vyema na raia wa huko Rutana huku kila mtu akihitaji kuzungumza aidha kusabahiana na mwanamuziki huyu.

Tazama picha zaidi za vile alivyo pokelewa huko Rutana

Wakifunguwa gari ili wachukuwe chakula wale
akitizama hali ya mazingira ilivyo pande za Rutana
Wingi wa raia wa Rutana walio taka kumuona star huyu

kila raia akitaka kusalimiana na mkali huyu
akichunguliwa ndani ya gari

watoto wote siku hiyo baadhi yao walipotea
Huyu ni kijana walio soma nae
akichonga na huyo kijana walie wai kusoma pamoja
akisabahiana na walio ishi nae kambini Mutabira

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi