Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » KWA HAPA BURUNDI WALIONA LA KAWAIDA NENO HILI "MOTHER F***K ILA KWA TANZANIA MSANII DULLY ACHUKULIWA HATUWA BAADA YAMWENZIE MWANAMUZIKI KUVAA NGUO YENYE NENO HILO KWENYE VIDEO YAKE

KWA HAPA BURUNDI WALIONA LA KAWAIDA NENO HILI "MOTHER F***K ILA KWA TANZANIA MSANII DULLY ACHUKULIWA HATUWA BAADA YAMWENZIE MWANAMUZIKI KUVAA NGUO YENYE NENO HILO KWENYE VIDEO YAKE

Written By Unknown on Friday, 21 February 2014 | Friday, February 21, 2014



Hivi majuzii baada ya watangazaji kadhaa wa hapa nchini kukutana nakujadili kwa kina swala tete linalo husiana na maneno ambayo yanaimbwa na baadhi ya wanamuziki wa hapa nchini.Pindi kulikuwa kukijadiliwa swala hilo hapa kwenye redio Rema fm kule Dar es Salaam Tanzania mwanamuziki mkongwe na mwenye sifa zake kemkem ajulikanae kwa jina la Prince Dully Sykes alikuwa akilia akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa la Tanzania lijulikanalo kama (BASATA) kwa kifupi.

Huku Kukiwa na  sababu kuu mbili zilizosababisha video hio kufungiwa na sababu ya kwanza  ni kitendo cha mwanamuziki Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi  kubwa na tusi hilo msanii maarufu wa hapa nchini yeye sasa kaliimba kwenye wimbo ambao umechukuliwa hatua za kisheria. Hii ingekua kwa nchi za mbele basi ingekutwa t-shirt hio ambayo Diamond alikuwa akivaa kwenye hio video wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring” yaani wanayafanya maneno yasisomeke lakini kwa Tanzania wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hio.
Sababu ya  pili ni vazi la ufukwe la yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.


Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri  ifungiwe ni kwasababu ipi ya msingi?


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi