First Lady wa Young Money, Onika Tanya Maraj aka Nicki Minaj,
amejikuta akiwekwa kitimoto na wanaharakati na baadhi ya mashabiki baada
ya kutumia picha ya mwanaharakati aliyejitikita katika kutetea haki za
raia ‘Malcom X’, kwenye cover ya wimbo wake mpya ‘Looking A*s N*gga’.
Picha hiyo ya mwaka 1964, kwa mara ya kwanza iliwekwa kwenye jarida la ‘Ebony Magazine’ na ndiko ilikokuwa imekusudiwa, inamuonesha Malcom X akiwa ameshikilia bunduki akichungulia dirishani kama mtu aliyesikia hatari nje na anajipanga kuikabiri.
Wakati huo Malcom X, alitaka kuonesha kuwa atailinda familia yake kwa njia yeyote ile hata kwa kutumia mtutu wa bunduki.
Hata hivyo baada ya kushambuliwa na mashabiki na kutishiwa kuchukuliwa hatua za kisheria na wamiliki wa haki ya picha hiyo, Nicki Minaj aliitoa haraka picha hiyo aliyokuwa ameiweka kwenye mitandao ya kijamii, na baadae akaandika ujumbe mrefu wa kuomba radhi huku akishangaa uamuzi wa watu kuwashambulia.
“Kipi kinachoonekana kuwa issue sasa hivi? Mnatatizo kwa mimi kuwa-refer watu ambao Malcom X alikuwa tayari kutumia bunduki kwa ajili yao kama kwenye ‘Looking A*s N*ggaz? Sawa, naomba radhi. Hiyo haikuwa official artwork wala sio official single. Haya ni mazungumzo. Sio wimbo. Niko kwenye shooting ya video ya Looking A*s N*ggaz na huko ikatokea kuwa ishara ya picha ya Malcom X tayari kwa kufanya kitu kilekile kwa alichoamini!!! Sio njia yeyote ya kushusha/kupuuza jitihada zake. Naomba radhi kwa watu wanaomiliki haki za Malcom X kama maana ya picha ilikuchukuliwa visivyo.”
Mwisho, Nicki Minaj aliamua kutetea kimtindo matumizi ya neno ‘N*gga ambalo watu wengi wanaonekana kulipinga hasa kwa yeye kulitumia mara nyingi kwenye wimbo wake.
“Neno ‘n*gga’ linasababisha mijadala mingi katika jamii, wakati huohuo tabia za “n*gga” linasifiwa na kuabudiwa. Tusifanye hivyo. Naomba radhi tena kwa familia yake. Sina kitu kingine bali heshima kwenu. Picha ilitolewa saa moja lililopata. Asante.”

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!