Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » TIMU YA REAL MADRID WAINGIA KWENYE MATENGENEZO MAKUBWA YA UWANJA WA SANTIAGO BERNABEU - KUINGIZA WATU 90,000 UKIKAMILIKA

TIMU YA REAL MADRID WAINGIA KWENYE MATENGENEZO MAKUBWA YA UWANJA WA SANTIAGO BERNABEU - KUINGIZA WATU 90,000 UKIKAMILIKA

Written By Unknown on Sunday, 2 February 2014 | Sunday, February 02, 2014

Raisi wa Real Madrid Florentino Perez jana alionyesha rasmi ramani mpya ya uwanja wa Santiago Bernabeu utakavyokuwa baada ya kufanyiwa marekebisho. Uwanja huo ambao ni mmoja wa miongoni mwa viwanja bora duniani unatarajiwa kuanza matengenezo hivi karibuni na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa 2017. 
Perez amesema matengenezo hayo yatakuwa yakisitishwa kila wakati ambapo timu itakuwa ina mchezo wa nyumbani, kwa maana hiyo Madrid wataendelea kuutumia Santiago Bernebeu katika kipindi chote hiki cha matengenezo. 



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi