Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » HABARI KUTOKA SOMALIA ZASEMA KUWA MJI WA KARYOLEY UMETEKWA NA MAJESHI I YA AMISOM

HABARI KUTOKA SOMALIA ZASEMA KUWA MJI WA KARYOLEY UMETEKWA NA MAJESHI I YA AMISOM

Written By Unknown on Saturday, 22 March 2014 | Saturday, March 22, 2014

Wanajeshi wa Muungano wa Afrika wanameuteka mji muhimu wa Koryoley, ulio umbali wa kilomita 90 Kusini Magharibi mwa mji mkuu Mogadishu.
Mji wa Koryoley, umekuwa chini ya udhibiti wa kundi la wanamgambo la Al Shabaab kwa miaka mitano iliyopita.
Mwandishi wa BBC aliye katika eneo hilo anasema kulikuwa mlio wa silaha na baadhi ya raia wa mji wamekimbia.
Kutekwa kwa mji huo ni ukombozi tangu kuanza harakati hizo dhidi ya Al Shabaab mwezi Machi mwaka jana wakiungwa mkono na Umoja wa Mataifa.
Wanajeshi hao wamefanikiwa kukomboa miji mingine muhimu na hata kuwatimua wapiganaji hao kutoka katika ngome zao kubwa.
Wengi wa wanajeshi wa AU ni kutoka Uganda, wakisaidiwa na wanajeshi wa Kenya, Burundi na sasa Ethiopia pamoja na wanajeshi wa Somalia.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi