Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Chris Brown inadaiwa kuwa ameachana
na mpenzi wake wa sasa Karrueche na kuamua kurudiana na aliyekuwa
mpenzi wake wa zamani Rihanna.
Ripoti zinasema kuwa hii ilitokana na wivu ambao Chris ameshindwa
kujizua kwa wasiwasi kuwa Rihanna sasa anarudiana na Drake ambaye ni
adui yake mkubwa.
Mtandao wa Rada online umeripoti kwamba Chris alianza kumtumia Rihanna ujumbe wa simu kuanzia tarehe 20 februari, ambapo ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa na ndipo Karrauche alipoanza kuweka jumbe hizo katika mtandao wa Instagram na twitter, na kuacha kumfuata Rihanna katika mitandao ya kijamii.
Chris ameripotiwa kumbwaga mpenzi wake Karrueche huku akidaiwa kutaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani, Rihanna.
Mtandao wa Rada online umeripoti kwamba Chris alianza kumtumia Rihanna ujumbe wa simu kuanzia tarehe 20 februari, ambapo ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa na ndipo Karrauche alipoanza kuweka jumbe hizo katika mtandao wa Instagram na twitter, na kuacha kumfuata Rihanna katika mitandao ya kijamii.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!