Pande nne za jiji la Bujumbura limekaa sasa kwa siku zakutosha lilitekwa na sauti za vijana Hodari watatu wenye vipaji vya kipekee na wenye sauti za mvuto wa kuchana ikiwa kwenye mitindo ya rap au kuimba yani rnb,nawazungumzia akina nani?nawazungumzia Ramadhani Kiza alimaarufu kama Dj Pro akiwa pamoja na Abubakar Karume alimaarufu kama Sat-b ama baba Leillah na bila kumbaguwa mkali mwenye asili ya kusini mwa nchi ya Burundi namuuongelea Nzeyimana Thomas alimaarufu kama Mkombozi ama Nseka mbabaye.
Sauti za hao wa tatu zimeonekana kuwa gumzo kwenye jiji la Bujumbura baada ya kusikika kwa pamoja kwenye hit track iitwayo "KALE KATOTO RMX" track ya "KALE KATOTO RMX" ni moja mwa track ambazo zimeonekana ku hit saana mwanzoni mwa mwaka huu wa 2014 tukichukulia pindi bado ingali studio pale ilipokuwa haijaruhusiwa kutoka na hadi pale ilipo ruhusiwa kutoka na mwenye track halisi ambae ni Ramadhan Kiza alimaarufu kama DJ PRO ama baba Kijacho.
Kumbuka kuwa wimbo huwo uliweza kufanyiwa ule mtindo wakuiziwia ambao mara nyingi tumezowea kuuona kwa wanamuziki wa nchi jirani kama kwa Diamond wa Tanzania na video ya wimbo wake wa "My Number One Rmx" ambao wengi walikaa wakisikia taarifa kuwa video hiyo imetoka ila kuiona ikawa tabu kutokana ilikuwa imeziwiliwa kwa njia moja yakuitafutia kick yani (kuihatarishia).
Hivo hivo ndo vile na yeye alivyo fanya mmiliki wa track hiyo ambae ni Rapa Dj Pro kwa kuiziwia track yake hiyo ya "Kale katoto Rmx" kwa takribani siku zisizokuwa chini ya siku 50 ikiziwiliwa kutoka huku taarifa zikisalia kusemwa semwa kwenye vyombo vya habari kuwa kuna track kali inakuja kama njia moja wapo yakuwatia raia uroho nakukaa chonjoo wakiisubiria kuisikiliza track hiyo nakutangaza tarehe rasmi za uzinduzi wa hiyo track.
Hatimaye tarehe 14 za mwezi wa february mkali huyo Dj Pro ndipo aliweza kuifanyia uzinduzi track hiyo pale kwenye fukwe la Petit Bassam huku uzinduzi huo ukiitikiwa na raia wengi wa pande zote wa jiji la Bujumbura ukizingatia na siku hiyo ilikuwa ni siku wapendanao yani siku ya Valentine day ambayo ni siku yakila umoja anakuwa anatoka na wake kula raha.
Kutokana na ku hit kwa track hiyo nakuombwa saana na raia wakimtaka mmiliki wa track hiyo aweze kuwapa video,bila kuchelewa mkali Dj Pro na ambae ni mmiliki wa track hiyo ameamuwa kuingia kwenye harakati zakuifanyia video na bila kuchelewesha mkali huyo amesha saini mkataba na kampuni ya AFRICAN SOUND kampuni ambayo kwa sasa inakuja kwa kasi kubwa kwa utengenezaji wa video za wanamuziki na audio ikiwa na ule mkali wa zamani wa AKAGA VIDEOZ ambae ni Black Artur.
Rapa DJ Pro ameweza kulipa pesa zote kama pesa zautengenezaji wa video hiyo ya "kale katoto Rmx" huku kukiwa kunasalia rapa Dj Pro kuungana na Dir Black Artur kumchagulisha location nzuri ambayo yeye mwenyewe ataona inafaa kuendana na utengenezaji wa hiyo video yake na huku kutakuwa kukisalia yeye mwenyewe kutowa tarehe zakuanza kushuti video hiyo.
Video hiyo ambayo mmiliki alisema kuwa anapendelea iwemo watu maarufu wa hapa nchini huku zaidi akilenga wanamuziki.
Sauti za hao wa tatu zimeonekana kuwa gumzo kwenye jiji la Bujumbura baada ya kusikika kwa pamoja kwenye hit track iitwayo "KALE KATOTO RMX" track ya "KALE KATOTO RMX" ni moja mwa track ambazo zimeonekana ku hit saana mwanzoni mwa mwaka huu wa 2014 tukichukulia pindi bado ingali studio pale ilipokuwa haijaruhusiwa kutoka na hadi pale ilipo ruhusiwa kutoka na mwenye track halisi ambae ni Ramadhan Kiza alimaarufu kama DJ PRO ama baba Kijacho.
Kumbuka kuwa wimbo huwo uliweza kufanyiwa ule mtindo wakuiziwia ambao mara nyingi tumezowea kuuona kwa wanamuziki wa nchi jirani kama kwa Diamond wa Tanzania na video ya wimbo wake wa "My Number One Rmx" ambao wengi walikaa wakisikia taarifa kuwa video hiyo imetoka ila kuiona ikawa tabu kutokana ilikuwa imeziwiliwa kwa njia moja yakuitafutia kick yani (kuihatarishia).
Hii ndo Kava ya track "Kale Katoto Rmx" |
Hatimaye tarehe 14 za mwezi wa february mkali huyo Dj Pro ndipo aliweza kuifanyia uzinduzi track hiyo pale kwenye fukwe la Petit Bassam huku uzinduzi huo ukiitikiwa na raia wengi wa pande zote wa jiji la Bujumbura ukizingatia na siku hiyo ilikuwa ni siku wapendanao yani siku ya Valentine day ambayo ni siku yakila umoja anakuwa anatoka na wake kula raha.
Kutokana na ku hit kwa track hiyo nakuombwa saana na raia wakimtaka mmiliki wa track hiyo aweze kuwapa video,bila kuchelewa mkali Dj Pro na ambae ni mmiliki wa track hiyo ameamuwa kuingia kwenye harakati zakuifanyia video na bila kuchelewesha mkali huyo amesha saini mkataba na kampuni ya AFRICAN SOUND kampuni ambayo kwa sasa inakuja kwa kasi kubwa kwa utengenezaji wa video za wanamuziki na audio ikiwa na ule mkali wa zamani wa AKAGA VIDEOZ ambae ni Black Artur.
Rapa DJ Pro ameweza kulipa pesa zote kama pesa zautengenezaji wa video hiyo ya "kale katoto Rmx" huku kukiwa kunasalia rapa Dj Pro kuungana na Dir Black Artur kumchagulisha location nzuri ambayo yeye mwenyewe ataona inafaa kuendana na utengenezaji wa hiyo video yake na huku kutakuwa kukisalia yeye mwenyewe kutowa tarehe zakuanza kushuti video hiyo.
Video hiyo ambayo mmiliki alisema kuwa anapendelea iwemo watu maarufu wa hapa nchini huku zaidi akilenga wanamuziki.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!