Wachunguzi wa mambo wanena kuwa Hadi leo kinacho changia zaidi video za nchini Burundi kutokuwa na mvuto zaidi kinaletwa na kile kinacho tajwa kuwa ni ukosefu wa wanawake wenye mvuto ambao wanastahili kuwepo kwenye video na ambao ukiwaweka kwenye video yako kwa namna moja ama nyingine watamvutia mtazamaji na video itakuwa nzuri.
Ukizingatia uzuri wao,mvuto wao,kujipamba kwao kwa kila kipambo na kujishauwa kwao wakiwa kwenye video huwa inaleta chachu kwa mtazamaji aweze kuiangalia video zaidi ya mara moja.
Video nyingi za wanamuziki wa Burundi zimekuwa zinaonekana mbovu nakumkata hamu mtazamaji zaidi inasemekana kuwa ni kutokana na ukosefu wa wanawake watanashati wenye mvuto na hiyo hupelekea mwanamuziki kumuweka mwanamke yeyote yule ampatae ilmradi video yake itoke na atimize kile cha mwanamke kuonekana tu.
Hayo yote ya wanawake wenye mvuto kukosekana kwenye ma video zaidi wachunguzi wanasema inatokana na familia zao kuwabania zaidi huku wakidai ma binti zao wakienda kwenye ulimwengu kama huo eti ni mwanzo wakuharibika nakuongeza kuwa eti ni njia yakuanza kuwa kahaba.
Kwenye video ya "Mot de passe" yakwake Issa Jamal alimaarufu kama Yoya kuliweza kuonekana binti umoja mwenye mvuto ambae alizuwa gumzo kubwa midomoni mwa watu huku kila umoja akijiuliza wapi mwanamuziki huyo kamtowa.Baada ya siku chache kuvuma kwa video hiyo uvumi ulianza kuvuma kuwa mwanamuziki huyo Issa Jamal alimaarufu kama Yoya anakula na kupakuwa na mlimbwende huyo,ila baadae kwenye kipindi cha Changamka show anacho kiendesha mwanahabari mh Ismail Niyonkuru mwanamuziki huyo aliweza kukanusha madai hayo nakusema kuwa si habari za kweli.
Baada ya Yoya kumuweka model mzuri ambae wengi walikuwa hawamfahamu wala kumzowea kumuona kwenye ma video hatimaye mwanamuziki mwengine ambae ni Nivyindavyi Emery alimaarufu kama Emery Sun amevumbuwa kifaa kingine ambacho wengi wanamzowea mara kadhaa kuonekana kwenye ma video za wanamuziki kadhaa wa nchini Burundi ila kwenye mahadhi ya kawaida ambayo ni yale (ya wanja na poda) ila mwanamuziki Emery Sun ameonekana kumbadilisha model huyo kwa kiasi kikubwa kwa kutumia gharama zote aziwezavyo ilimradi model huyo abadilike.
Amini usiamini ukimuona mwanamke huyo ambae amewekwa kwenye video yake mpya ya "Wawundi" huwezi amini kama ni mwanamke kutoka Burundi huku wengi wakianza ubishi kuwa ni mwanamke kutoka Uwarabuni au pande za mitoni kwao na watu,ila jibu la ubushi huo ni kuwa model huyo ni raia wa Burundi anatokea kusini mwa jiji la Bujumbura akiwa anajulikana kwa jina la Amina.
Upinzani umenza kuibuka huku kila fans wa umoja akiidai model yule wa kwenye track ya "Mot de passe" ndie mwenye mvuto kuliko huyu ambae hivi karibuni ataonekana kwenye video mpya ambayo bado ingali jikoni yakwake Emery Sun ambayo ni video ya hit track yake iitwayo "Wawundi"
Fahamu kuwa muda wowote ule video hiyo ya "Wawundi" itakuwa imeachiwa ila haito pelekwa moja kwa moja kwenye Televisheni tafauti kwa mujibu wa mmiliki wa video hiyo ambae ni Emery Sun nakusema anampango mwingine na hiyo video ambao kwake bado ingali siri
Ukitaka kujionea picha za hao wa Model wote wawili basi hizi hapa:

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!