Kila tarehe nane mwezi march ulimwengu unakuwa unasheherekea siku kuu ya akina mama,hivyo kila mwanamke leo ni fakhari kwake kuisheherekea siku hii kwa furaha na kujiachia ki design.
Burundi kwenye tasnia ya utangazaji wanawake si wengi hususani ukitazama kwenye kipengele cha kuutangaza muziki wa burundi ni wachache mno,huku wakiwa wanahesabilika.
Mwana dada Aisha Amuri Ndimubandi ni mfanyakazi hodari na mwenye kipaji chake chakipekee,Aisha hana sifa hizo tu pia ni mwahabari mwenye mvuto wa kipekee na mwenye sauti tamu yakuvutia maskioni huku akiwa mwenye kujiachia na anae fahamu vyema kuwashika watu wanao kuwa wanamsikiliza kutokana na uchangamfu wake anao akiwa Redioni.
Aisha Amuri ambae kwa sasa anafanyia kazi kwenye kituo cha Redio cha RPA cha mjini Bujumbura na akiwa kama mtangazaji pekee mwanamke mwenye vipindi vya kiswahili kwenye Redio hiyo,zaidi ya Alexi Kwizera mwalimu wa zamani wa mwanahabari mh Ismail Niyonkuru.
Mtandao wa habari wa www.ismailniyonkuru.info unamtakia sherehe njema ya siku kuu ya akina mama yeye na wenzie wa tangazaji wanawake wa nchi Burundi na dunia nzima...

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!