Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » MAHAKAMA YA HONG KONG YAMKATIA HUKUMU YA MIAKA SITA JELA KIONGOZI WA CLUB YA BIRMINGHAM CITY YA UINGEREZA

MAHAKAMA YA HONG KONG YAMKATIA HUKUMU YA MIAKA SITA JELA KIONGOZI WA CLUB YA BIRMINGHAM CITY YA UINGEREZA

Written By Unknown on Friday, 7 March 2014 | Friday, March 07, 2014

Mmiliki wa klabu ya Birmingham City Carson Yeung amehukumiwa jela miaka sita na mahakama ya Hong Kong baada ya kukutwa na hatia ya kutakatisha fedha chafu. Yeung mwenye umri wa miaka 54 alihukumiwa Jumatatu kwa makosa matano yanayohusu paundi milioni 55 zilizopitia katika akaunti yake kati ya mwaka 2001 hadi 2007. Bilionea huyo alishitakiwa mwaka 2011 ikiwa ni miaka miwili toka ainunue Birmingham. Yeung ambaye ni mtengeneza mitindo ya nywele ameai kuwa amejipatia utajiri wake kupitia biashara ya hisa, kukodisha majumba, saluni za kutengeneza nywele na kamari.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi