Mwanamitindo na mrembo ambaye aliwahi kuonesha kuwa na moyo wa ziada
kuivumilia drama ya mapenzi kati yake na Chris Brown aliyewahi kuweka
wazi kuwa alikuwa anawapendawote yeye na Rihanna na mwisho kumchagua
Rihanna, inawezekana hana moyo huo tena.
Ikiwa ni siku kadhaa baada ya habari kuwekwa wazi kuwa Chris Brown anasumbuliwa na ugonjwa wa kiakili unaosababisha hasira nyingi, msongo wa mawazo na ukosefu wa usingizi ‘bi polar diagnosis’ na hivyo anaendelea na matibabu, Karrueche Tran ametweet kuwa hayuko kwenye mahusiano na mtu yeyote kwa sasa.
“Not dating anyone stop with the bs.” Inasomeka tweet ya KT.
Katika siku za hivi karibuni, mrembo huyo ameonekana akiwa anakula bata kama msichana ambaye yuko ‘single kweli’.
Chris na Karrueche Tran wamekuwa wakiachana na kurudiana mara kwa mara kiasi ambacho watu hushindwa kutofautisha wakisikia wameachana tena, wengine huanza kujiuliza ‘kwani walirudiana?’

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!