Ukiulizia mwanamuziki yupi nchini Burundi anao uwezo wakukuwakilisha sehemu yeyote yakifakhari na yakiheshma na ambae anae uwezo wakukufikishia fikra zako kwa mtu ambae wewe kwa mtazamo wako unahisi ukijifikia hawezi kukuelewa,basi mwanamuziki huyu ambae ni raia kutoka kaskazini mashariki mwa nchi ya Burundi na kijana ambae amezaliwa na kulelewa kwenye misingi ya dini ya Kiislam namzungumzia Issa Jamal alimaarufu kama Yoya,inasemekana kuwa ndie mwanamuziki pekee kutoka nchini Burundi ambae hata akiitwa wakati wowote na muheshimiwa yeyote mfano kama waziri,balozi,hata rais kukutana na yeye basi inaaminika hawezi kuwaangusha anao kuwa amewawakilisha mbele ya viongozi hao.
Hayo yote yanamekuja kutokana yakwamba eti mwanamuziki huyu ni mjuzi,mwenye ustaarabu mwenye heshima zaidi na zaidi ni mwanachuoni...
Inasemekana kuwa anasifa ambazo wanamuziki wengine wa Burundi hawana,ukizichukuwa tabia zake kama upole,upendo,uchangamshiii bila kusahau mwenye msimamo thabiti...
Inasemekana mwanamuziki huyu huwa hana tabia yakumficha mtu hata kidogo na kwenye maisha yake ni mtu mwenye msimamo yani anae penda kujisimama eko.
Hio jana ilionekana kwenye mtandao wakijamii wa Facebook wa mwanamuziki huyu post ambayo inaambatana na picha ambazo ni za siku ya shindano la Ten in One,shindano ambalo liliwai kuanzishwa na mwanamuziki Kidumu,Baada ya post hiyo ambayo iliambatana na picha za siku ya tukio hilo zilianza kuwashangaza watu wengi pale walipo anza kujiuliza mengi kuhusiana na post hiyo yenye maneno mazito akiyachukuwa kwenye wimbo wake wa "Ivyo nabonye",ukiusikiliza wimbo huyo wa "Ivyo nabonye" ni wimbo ambao unahadisia maisha ya bin adam wa sasa na vile dunia inavyo zidi kwenda ina badilika na zaidi huku akitumia kiitikio chakumwambia kwa mtindo wamshangao Mungu "kuwa yeye aliona vingi duniani ila haamini kama ni vyenyewe aulaa ni macho yake".
Lakini Hio jana kwenye ukurasa wake wa kwanza wa Facebook kulionekana kukiwekwa vesi ya pili wa wimbo huyo wa "Ivyo Nabonye"
Hayo yameibuka baada yakuwa kuliwai kuwepo taarifa zakuwa Yoya kwenye shindano la Ten in One hakuweza kurizishwa na matokeo yaliyo tangazwa na majaji ambapo ushindi alipewa msanii mwenzie Niyinzi Rally Joe raia kutoka kaskazini mwa jiji la Bujumbura,kitu hicho inasemekana kilimkera saana mwanamuziki huyu.
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Changamka show anacho kiongoza mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru aliweza kumtafuta mwanamuziki huyo kwenye njia ya sim ili kuweza kujibu kuhusu sababu za yeye kuangusha kwenye mtandao wa Facebook kitu hicho...
Mwnamuziki Yoya alionekana kufunguka kwa maneno machache pale alipo sikika akisema kuwa yeye hajamlenga mtu yeyote ila kile ni kitu katika maisha yake hatokufa amekisahau...aliweza kuulizwa kwanini hatokufa anakisahau Yoya alijibu kuwa eti ndo siku yeye akiweza kugunduwa kuwa ana mashabiki kibao kwa vile alivyo shuhudia walivyo kuja wakimshangilia huku wakibebelea mabenderaa yenye jina lakee...
Hayo yamekujaa baada yakuwa mwanamuziki huyu inasemekana kuwa ameupiga teke mkataba wakutumbwiza kwenye bonge la show litakalo kuwa mwishoni mwa wiki hii pale kwenye viwanja vya EPHU Nyakabiga.
Inasemekana kuwa mwanamuziki huyu ameupiga teke mkataba huyo kwa kuwa eti wamewapa thamani kubwa wanamuziki kutoka nje ambao watakuwepo kama wanamuziki wa heshma ambao ni Jaguar wa Kenya pamoja na kundi nzima la GOODLYFE kutoka Uganda.
Inadaiwa mwanamuziki Yoya ameukata mkataba huyo kwa kuwa wanamuziki wa Burundi eti hawapewi thamani yao inayo wastahili.
Ikiwa ni mwenyewe mwanamuziki huyo ameonesha msimamo huo nakutangaza kujitowa kwenye mkataba huyo ila wanamuziki wenzie wameonekana kuwa tafauti na yeye na wamesalia kwenye msimamo wakuwa kwenye mkataba huo huku wao wakisema sisi cha muhimu mkono wende kinywanii..

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!