Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » WEMA NA DIAMOND MAPENZI KWAO SI SIRI TENA...AWACHANA WANAO MCHAFUWA DIAMOND WAKE

WEMA NA DIAMOND MAPENZI KWAO SI SIRI TENA...AWACHANA WANAO MCHAFUWA DIAMOND WAKE

Written By Unknown on Saturday, 15 March 2014 | Saturday, March 15, 2014

Mwanadada wema sepetu amzidi kuonesha mapenzi aliyonanyo kwa kijana mkuu wa WCB – Diamond Platnumz baada ya kuamua kufunguka kwa mara nyingine tena juu yake kama inavyosomeka katika maneno hayo hapo chini…




“Da love of my life.... Dats wat he is.... Our life, our rules.... Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa.... I am his nd he is mine... dats jus it.... Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu.... Love him jus like dat.... Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja.... Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all... With all due respect stop talking shit bout my baby.... Cuz at da end of da day he is da one I love nd I aint scared to.say it.... Nd I aint gon.stop... Call me stupid, crazy or whatever but dats jus reality.... Take it or leave it.... Im out...”

Maneno hayo hayakuwa yenyewe bali yaliambatana na picha ya mwanadada huyo aliyoitoa ikimuonesha diamond akiwa kalala na alama ya lips zinzoaminika kuwa za binti huyu staa wa filamu nchini .
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi