Mshambuliaji wa klabu ya
Manchester United Robin van Persie ameripotiwa kwamba amepata majeruhi
ya goti baada ya kuumia katika mchezo wa raundi ya pili wa hatua ya 16
ya ligi ya mabingwa wa ulaya dhidi ya Olympiakos uliopigwa katika dimba
la Old Trafford, jumatano wiki hii.
Van Persie ambaye alifunga hat trick iliyoipeleka Man United hatua ya robo fainali alitolewa nje na machela katika mchezo huo katika dakika za mwisho za huo, na leo hii baada ya kufanyiwa vipimo kiundani imegundulika amepata majeruhi yatakayomuweka nje kwa muda wa wiki 4-6.
Kwa maana hiyo mdachi huyo ataukosa mchezo dhidi ya Manchester City pamoja na mchezo wa kwanza wa robo fainali ya UCL dhidi ya Bayern Munich, hivyo kuiachia timu yake pigo zito.
Nini maoni yako kuhusu kukosekana kwa Van Persie katika kikosi cha United hasa katika kipindi hiki kigumu cha mwishoni mwa msimu?

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!