Jamaa kutoka Cambodia amefanya kitendo cha
ajabu baada ya kufukua kaburi la binti wa Miaka 17 aliyefariki na
kujaribu kufanya nae mapenzi(Huu ni mfano wa kaburi lililo fukuliwa)
Ni habari ya kusisimua ambapo jamaa alikuwa ameamua kufuakua kaburi la msichana mwenye miaka 17, kwa nia ya kufanya nae mapenzi, alishikiliwa na Polisi Baada ya kukutwa amelala juu ya Jeneza hilo huko Cambodia imethibitishwa

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 47 aliyefahamika kwa
jina la Chin Chean alikamatwa na wanakijiji baada kupatikana amefukua
kaburi la binti, huku mwili huo wa marehemu ukiwa umeachwa wazi ndani ya
jeneza hilo.
Chin Chien alilileleza Jeshi la Polisi kuwa alianza
kuchimba kaburi hilo majira ya saa nne usiku , ikiwa ni siku moja baada
ya kufanyika mazishi hayo ya binti huyo aliyekuwa na umri wa miaka 17Jamaa huyo aliendelea kuchimba kaburi hilo hadi kufikia jeneza hilo na kufanikiwa kulifungua
Baada
ya kumaliza kufukua na kufungua jeneza hilo jamaa huyo aliiambia polisi
kwamba alifungua jeneza hilo na kutaka kufanya mapenzi na marehemu huyo
akiwa katika Jeneza, lakini kutokana na udogo na ufinyu wa nafasi wa
Jeneza hilo ilishindikana kwa yeye kufanya kitendo hicho.
Na baada ya kushindwa kufanya aliamua alale juu ya Jeneza huku likiwa wazi.
Wakizungumza wanakijiji walidai kwamba waliona Miguu ya Bwana Chean katika kaburi hilo mida ya saa kumi na mbili asubuhi na kuamua kuipa taarifa familia yake , walisema polisi
Wakizungumza wanakijiji walidai kwamba waliona Miguu ya Bwana Chean katika kaburi hilo mida ya saa kumi na mbili asubuhi na kuamua kuipa taarifa familia yake , walisema polisi
"Tunashindwa kuelewa kabisa kama huyu jamaa hapa kijijini alikuwa akimfahamu huyu Marehemu hata kabla hajafariki na kisha kuamua kufanya kitendo hiki" aliongea bwana Vutha
Lakini
aliongeza kwa kusema kwamba Anamfahamu Bwana Chin Chean kuwa ni Mbugia
unga na hufanya matendo ya ajabu ajabu, ambapo kuna siku alishawahi
kutembea maeneo ya Pagoda akiwa mtupu bila nguo.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!