Baada ya jana asubuhi kuitikia mualiko wa mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru kwenye kipindi anacho kiendesha cha Changamka show,goal kipa ambae kwa sasa ameonekana kuwa gumzo nchini Burundi kutokana na umahiri wake wa kuokowa mipira nakujituma kwake akiwa uwanjani,Arakaza Mc Artur aliuitikia mualiko huyo huku akiwa na siku moja wakitokea kule Cameroun kwenye match yao dhidi ya timu ya Coton Sports ya Garoua ambayo haikuwajia rahisi kama vile wengi walivyo kuwa wakiitabiria match hiyo kuwa timu hiyo ya Coton Sport ya huko Garoua ingeliwafunga kwa kuwa timu hiyo inao mchezo mzuri na wenye kuvutia zaidi ya timu ya Flambeau.
Timu ya Flambeau anayo ichezea Arakaza Mc Arthur utahisi ilikuwa imeenda kufanya mazowezi kwa matokeo ambayo iliambukia kule Cameroun na timu hiyo ya Coton Sport ya huko Garoua.
Flambeau match ya awali ya hapa Bujumbura ilikuwa kama imeichokoza timu hiyo ya Cameroon kwa kuifunga bao moja kwa bila ambapo Flambeau ilielekea Cameroon ikiwa na ushindi na ikienda kama kwenda kutetea bao lao hilo walilo lifungia hapa Bujumbura.
Lakini walipo fika kule hali kwao haikuwa rahisi ambapo zaidi kuchapwa kichapo kikali cha bao tano kwa nunge inasemekana kulichangia na hali ya hewa ya Cameroon ambayo warundi hawaizowei ambayo fukuto ni lakupita kiasi ambalo wachezaji wa Burundi hawalizowei na hivyo kusalimu amri kwa kipigo hicho.
Zaidi ya kipigo hicho nusura goli kipa huyo arudi kilema kutokana na mashambulio makali ya hao wa Cameroon ambayo alipambana nayo hadi kushindwa na kuamuwa kuomba aondolewe nje na mwengine aingie kushuhudia mashambulizi aliyo kuwa anayapata.
Arthur aliondoka baada yakutoneshwa kwenye ule mguu wake ambao aliwai kuumilia akiwa kwenye mazowezi na timu ya taifa ambapo walikuwa wakijiandalia kwenda kwenye michuano ya CHAN 2014.
Zaidi yake kulikuwepo na wengine wachezaji ambao walizimia zimia kutokana na mashambulizi makali yakichangiwa na hali ya joto kali basi hivyo kuamuwa kusaliti amri kwa bao tano kwa bila.
Jana kwenye kipindi cha Changamka show alikua amekuja kama kuja kujibu maswali ya raia ambayo yamekithiri midomoni mwao,huku yakitokana na match ya hivi karibuni ya Burundi na Rwanda ambapo Burundi iliambulia kutoka sare ya moja moja,huku chanzo cha matokea hayo ambayo yalikuwa si yakutarajia ukizingatia na vile timu hiyo ya taifa ya Burundi walivyo kuwa wameindaa kwa kuleta wachezaji wa pande zote kuja kujipima nguvu nakutazama kiwango cha timu hiyo ya taifa,
Ila kwenye dakika za mapema kwenye kipindi cha kwanza cha mchezo huwo nyavu za lango la Burundi ziliweza kutikisika huku goal kipa Arthur akitupiwa madongo kuwa yeye ndie chanzo cha matokeo hayo mabaya baada ya mpira kumponyoka na kudondoka mbele ya mshambuliaji wa Rwanda na vile alivyo kuwa na kiu cha kufunga bao mshambuliaji huyo na hatimaye hakuchelewa akausukuma mpira kidoogo na nyavu zikatikisikaa.
Asilimia kubwa ya Raia waliopiga sim kwenye kipindi hicho wengi wao walionekana kumpa moyo Arthur huku wakimtaka kufanya kazi zaidi na wakimsihi asitishike na maneno ya watu na zaidi wakimwambia kuwa ni kawaida kwa mwanadam kukosea na kwa ma goal kipa huwa yanatoke,moja ya walio towa yao ya moyoni ni mwanamuziki Abubakar Karume alimaarufu kama Sat-b ambae alionekana kuongea maneno marefu yenye busara yaliyo mfanya goli kipa huyo kujihisi furaha moyoni.
Baadae kwenye mida ya saa saba mchana mkali huyo aliweza kufunga mizigo yake nakuelekea Makamba kuwaona wazazi wake pamoja na ndugu zake ambao ni wenye maikazi yao huko Makamba.

Alipo fika Makamba Mkali huyo aliweza kutupia kitu kwenye mtandao wa facebook
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!