Ligi kuu ya Uingereza imefikia katika hatua za lala salama huku karibu kila timu ikiwa imeshuka uwanjani mara 35.
Ushindani umekuwa mkubwa sana katika kuwania ubingwa na kutafuta kumaliza nafasi nne za juu huku pia kukiwa na timu zinapambana vilivyo ili ziweze kusalia kwenye ligi.
Liverpool,Chelsea na Man City ndiyo timu pekee zinazoweza kupata ubingwa msimu huu zikiwa zinauwezo wa kufikisha pointi 84 na kuendelea wakati Arsenal na Everton hazina uwezo tena wa kupata ubingwa kutokana na michezo iliyosalia lakini zinapambana kutaka kumaliza kwenye nafasi nne za juu.

Ifuatayo ni ratiba ya michezo iliyosalia ya timu 5 zilizo katika nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi:
Ratiba ya michezo iliyosalia kwa timu tano za juu. | |||
# | LIVERPOOL | ||
1 | Chelsea | Nyumbani | Aprili 27 |
2 | Crystal Palace | Ugenini | Mei 5 |
3 | Newcastle United | Nyumbani | Mei 11 |
CHELSEA | |||
1 | Liverpool | Ugenini | Aprili 27 |
2 | Norwich City | Nyumbani | Mei 4 |
3 | Cardiff City | Ugenini | Mei 11 |
|
|||
MANCHESTER CITY | |||
1 | Crystal Palace | Ugenini | Aprili 27 |
2 | Everton | Ugenini | Mei 3 |
3 | Aston Villa | Nyumbani | Mei 7 |
4 | West Ham United | Nyumbani | Mei 11 |
|
|||
ARSENAL | |||
1 | Newcastle United | Nyumbani | Aprili 28 |
2 | West Bromwich Albion | Nyumbani | Mei 4 |
3 | Norwich City | Ugenini | Mei 11 |
|
|||
EVERTON | |||
1 | Southampton | Ugenini | Aprili 26 |
2 | Manchester City | Nyumbani | Mei 3 |
3 | Hull City | Ugenini | Mei 11 |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!