Ikiwa imezoweleka kwa watu maarufu hususani wanamuziki waigizaji wa filamu hata wenye umaarufu kwenye mambo mengine tafauti na hayo swala la kuzozana ni lakawaida,na huwa linatokea duniani kote.
Wasanii kuwa kwenye bifu,wasanii kushwana au wasanii kutupiana maneno machafu yani kutukanana ni jambo la kawaidaa kwa nchi zingine na wengine wanafikia hadi hata kutamkiana kuuwana.
Hivi majuzi ilikuwa vuta ni kuvute kati ya mwanamuziki Sat-b na mwenzie mwanamuziki Patient Matabaro ambae anashikilia taji la mshindi wa tuzo lakusaka vipaji lijulikanalo kama Primusic kwa mwaka wa 2013 hadi 2014.
Wa wili hao inadaiwa walikuwepo na ma bifu zao za chini chini...ambazo zilikuwa hazijawekwa hazarani huku zaidi chanzo kikitonya kuwa ni ule wimbo wa "Nawachoma Moto" wakwake Matabaro Patient ambawo kwa namna moja ama nyingine ndanimo kamlenga mwanamuziki Sat-b kwa kiasi kikubwa ukichukulia mwanzo wa wimbo huo hadi mwishoo na mashahiri ya mshirikishwaji kwenye wimbo huo ambae ni rapa anaedaiwa hawagi na uhusiano mzuri na mwnaamuziki Sat-b na hususani hana uhusiano mzuri na wasanii kutoka kusini mwa jiji la Bujumbura anae julikana kwa jina la JEZZ B.
Inasemekana Sat-b alikerwa saana na kitendo cha mwanamuziki Matabaro kumdiss vibaya na rapa Jezz b kwenye wimbo huo.
Siku vile zinakwendaa,masaa vile yanakatikaa...usiku na mchana unaingiaa...siku ya siku ikafikia.
Usiku wa Jumamosi ya April 26 Ilikuwa ni usiku wa kipekee ambapo mwanamuziki Sat-b,Dj Pro,Black g na The Cousins walikuwa na show pande za Vouvouzela Bar,ila kwa bahati mbaya show hiyo haikuweza kuwepo,vile unavyo fahamu watu maarufu kila mwisho wa wiki wanakuwa wanatoka ku enjoy na wenzi wao sehemu tafauti mfano kwenda kuhudhuria show za wenzao na hata kuwapa kampani kama inawezekana.
Baada ya show hiyo kuwa kama haitakuwepo hapo pande za Vouvouzela Bar wasaniii hao waliondoka nakuelekea kushuhudia show ya mwenzao mwanamuziki anae julikana kwa jina la Patient Matabaro ambapo yeye alikuwa akiparfom kwenye viwanja vya...La Pirogue kwa jina la zamanii.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari inasemekana pindi Sat-b alipo wasili hapo alikuwa amekaa mbali nakundi alilo kuwemo mwanamuziki Patient Matabaro.
Ila inasemekana P.Matabaro aliweza kuwasoegelea na kuanza kuwasalimia watu walio kuwa pamoja na mwanamuziki Sat-b huku akiwapa mikono,inasema kuwa Sat-b yeye mwenyewe ndie alie kataa kumsalimia mwanamuziki mwenzie P.Matabaro huku akikataa kumsalimia na zaidi akitowa maneno machafu kwa mwanamuziki huyo na ikidaiwa pia na yeye P.Matabaro aliweza kumjibu kwa matusi mwanamuziki Sat-b ndipo wote kutupiana maneno kwa pamoja.
Baadae kidogo inasemakana mvutano ulihama na ukahamia kwa mwanamuziki Bamso wa kundi la The Cousin ambae inasemekana aliyatowa maneno machafu baada ya mwnamuziki P.Matabaro kumtolea matamshi machafu promota maarufu na PA wa WCB anae julikana kwa jina la Anzo Mafia.
Na ufahamu kuwa kundi la Sat-b alilo kuwa nalo ndilo kundi alilo kuwemo Anzo Mafia,inadaiwa kuwa Anzo aliweza kumuuliza Sat-b akielekeza kwa P.Matabaro akiuliza hivi eti:" Huyu ni naniii..."
eti aliweza kujibiwa kwa kuambiwa hivi huyu si ndo Matabaro....!!!
Anzo akauliza hivi : "Matabaro kinga (yani zile beiskeli kubwa kubwa) au Matabaro moto?
Inasemekana matamshi hayo ya Anzo hayakumfurahisha mwanamuziki Matabaro ndipo kumshushua Anzo Mafia kwa maneno machafu machafuu
Inasemekana marefu matusi yalisikika hapo kwa hao wote,ila mambo yakawa yameisha kwa Sat-b na Matabaro na kurukia kwa Anzo na Matabaro,punde kidogo eti Bamso wa kundi la The Cousin's nae akawa amefika hapo akaja na kauli ambayo wamoja wanasema alikuwa ana tania wengine wakisema alikuwa amelewa wengine wakisema alikuwa sahihi na alicho kuwa anakiongea.
Inasemekana Bamso alikuja kwa kauli akiwambia hivi:"Na mimi nataka sasa niwatoleye wimbo wakuwatukana nyie wote mlio towa nyimbo za ma bifu bifu" baadae inasemekana Bamso aliweza kudokezea kwa kauli ya Anzo kuwa baada yakuwa eti kuna kauli ya Anzo alisema hivi akimwambia Matabaro:"Ntaweza kukupiga unanijuwaa..na mengine mengi" ndipo akadokeza akisema hivi mimi ntawapiga nyinyi wote...
Mwanga wa vurugu ukawa unaanza ndipo hapo punde muda mchache pakaja jamaa umoja anae julikana kwa jina la Big Gun inasemekana na yeye akawa anawajibu kwa sauti ya kati na akiwataka waache hizo vurugu,hapo ndipo huyo Big Gun aliweza eti kumwambia Bamso hivi:"Hivi wewe una nguvu gani zakuwapiga watu wote?"Inadaiwa kuwa Bamso aliweza kumtolea maneno machafu Big Gun na hapo ndipo pakajitokeza kijana aliye kuwa anavalia nguo nyekundu zakufanana na kumjibu Bamso,bila kuchelewesha inasemekana Bamso alimshushua kijana huyo kwa tusi la kwa mama yake,kijana huyo vile bin adam wanazidiana aliweza kuhuzunishwa zaidi na kitusi hicho bila kuchelewa akamrukia Bamso nakuanza kumnyonga shingoni,baadae hadi kumuweka chini style za akina Jet Li kwenye sinema zao.
Hapo vurugu zikawa zimenoga wakuvunja viti wakavunjaa,wakutimuwa wakatimuwa wakuacha vyao wakaacha vya,wenye walikuwepo kwenye Bar hiyo wakipata starehe wakavunjiwa starehe zao.
Inasemekana pindi huyo kijana alipo kuwa akimminyia kwa chini mwanamuziki Bamso mwanamuziki Matabaro aliweza kumrukia kijana huyo kama njia moja wapo yakutaka kumpa kichapo,fahamu kuwa huyo kijana alikuwa kwenye kundi moja na Sat-b na alikuwa gari moja na Sat-b na inasemekana ni kijana kutoka pande za Kanyosha.
Inasemekana pindi Matabaro alipo mvamia yule kijana alie kuwa akimminyia chini kwa chini Bamso mwanamuziki Sat-b hakuweza kurizishwa na mtu wake kuvamiwa na yeye ndipo kumrukia Matabaro ikawa ngumi za wawili kwa wawilii.
Vurugu zikazidi....kwa muda wa saa nzimaa akiachanishwa mwanamuziki Bamso ila wapi akikataa,Baadae kidogo aliweza kupanda Taxi,taxi hiyo ambayo waliondoka wakiwa wa wanne ambao ni R-flow,Channy Queen,Matabaro na Bamso akikaa kwenye kiti cha mbele.
Baadae kundi la Sat-b nalo liliondoka hapo La Pirogue nakuelekea pande za Bwiza bara bara ya saba kwenye station ya mafuta ijulikanayo kama King Star,pindi walipo kuwa wakielekea hapo kundi la mwanamuziki Sat-b ambalo lilikuwa likiongozwa na Anzo Mafia na Big Gun ambao walikuwa wakitembelea ka gari kekundi kadogo dogo kama ka Starlet hivi,Anzo Mafia akikaa mbele,Big Gun akiendesha huku kiti cha nyuma akiwa mwanamuziki Black-g,inasemekana Anzo Mafia aliweza kumuita kwa njia ya sim mwanamuziki R-Flow huku akimuomba waweze kukutania King Star waweze kuyamaliza yale yaliyo kuwa yamemalizika kutokea kule La Pirogue.
Punde kidogo kundi la akina Matabaro likaja na usafiri wa Bajaji wakija wako wa tatu tafauti na mwanzo walikuwa wanne akiachwa Channy Queen.
Muda kidogo sekunde chache Sony anae kuwa karibu saana na Fizzo nae na ule usafiri wake wa kapiki piki kake akawa amewasili hapo,Mida nayo ikawa imefika mbalii kama saa 4 hivo za usikuu.
Punde hapo mazungumzo ya haraka haraka,ila kwenye mazungumzo hayo kulionekana sura mpya mpya za vijana wakuinukia huku wakija wakiulizia hivi:"ni nani alie mpiga Bamso nani kamfanya hivi Bamso"
Baadae muda mfupi alionekana mwanamuzikii Matabaro akija kwa kasi akimrukia mwanamuziki mwenzie Sat-b kwa teke la mbavuni hadi kugaragara chinii,kitu hicho kikawa kimeamsha tena fujo nae Sat-b akawa kama amechomekwaa na kuamsha makalii yake.
Ngumi zikaanza kurukaa hapo,wakuamuwa wakaamuwa wakunyamanzisha wakanyamanzishaa mwishowe kila mmoja akawa ameondoka baada ya Sat-b kushahuriwa aondokee aende nyumbani na timu yake nzimaa.
Je,unahisi ni kipi kilifatia?

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!