Kama kuna siku ambayo kila mwana Africa mashariki na zaidi wale wanao penda tasnia ya uigizajii,siku ya April 07 2012 ni siku ambayo haiwezi kufa inatoka Vichwaniii mwao...ni siku ambayo ilio jaa mengi zaidi...ni siku ambayo machozi yalidondokaa machoni mwa watu...ni siku ambayo watu wa pembe 4 za dunia walikusanyika kwa pamoja mbele ya jeneza moja,watu wasio wakawaida walikuja na wao kama njia moja wapo yakuungana na wengine kuhudhuria kwenye msiba wa gwiji wa Filamu za Kitanzania aliye kuwa akijulikana kama Kanumba kutoka nchini Tanzania.
Tukichukulia zaidi kikanda ya kwenye ukandaa huu wa Africa mashariki Kanumba alikuwa kama "lulu" ila kwa sasa imetimia myaka miwili hatunae tena...
Tarehe 7 April mwaka 2012 ndipo alifariki Msanii wa Filamu Steven Kanumba ni msiba ambao ulibeba hisia za Watanzania na hata wasio kuwa Watanzania ambao walikua wakifatilia filamu mbalimbali za Kitanzania na zaidi vile alivyo kuwa kivutio sura yake iliikaa zaidi fikirani mwao na machoniiii mwao....na ndo kwa maana kamwe hatosaulikaaa....KANUMB DAY.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!