Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » JE,ULIKUWA UNAFAHAMU HILI?SOMA KITU AMBACHO KINACHO MKERA MUME WA MWANAMUZIKI MARIAH CAREY

JE,ULIKUWA UNAFAHAMU HILI?SOMA KITU AMBACHO KINACHO MKERA MUME WA MWANAMUZIKI MARIAH CAREY

Written By Unknown on Saturday, 5 April 2014 | Saturday, April 05, 2014

MUME wa mwanamuziki, Mariah Carey (44), Nick Cannon (33),  amesema kuwa kama kuna kitu ambacho mke wake hakipendi ni tabia ya kuzungumzia uhusiano wake uliopita.
Cannon alisema hayo wakati akifanya mahojiano na jarida moja maarufu nchini Marekani.
Kwa mujibu wa mtandao wa celebries.com, Nick alisema kuwa mkewe huyo huwa hana tabu wanapozungumzia masuala yao hata yawe ya ndani kiasi gani.
“Lakini kinachomkera zaidi ni kitendo cha kuzungumza habari za kina Kim Kardashian, Christina Milian na Nicole Scherzinger waliowahi kuwa wapenzi wangu,” alisema Nick.
Hata hivyo, Nick ana historia ya kutoka na vimwana wakali wa Marekani jambo linalomtia mashaka mke wake kwani anachohofia ni mume wake kukwapuliwa tena kimapenzi.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi