Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , , » KUTANA NA HIZI PICHA ZA WATU MAARUFU DUNIANI WAKILA NDIZI KAMA ISHARA YAKUMSAPOTI ALVES KUPINGA UBAGUZI WA RANGI

KUTANA NA HIZI PICHA ZA WATU MAARUFU DUNIANI WAKILA NDIZI KAMA ISHARA YAKUMSAPOTI ALVES KUPINGA UBAGUZI WA RANGI

Written By Unknown on Wednesday, 30 April 2014 | Wednesday, April 30, 2014

Baada mchezaji wa timu ya Barcelona, Dani Alves kula ndizi aliyorushiwa na mashabiiki uwanjani, kitendo chake kimechukuliwa kama kitendo cha kishujaa na kimeanzisha harakati mpya za kupinga ubaguzi wa rangi kwa mtindo wa kula ndizi.
Mastaa mbalimbali wametumia mitandao ya kijamii kupost picha wakila ndizi na maelezo ya kupinga ubaguzi wa rangi.
“Straggling to sleep after tonight’s game…this banana might help #Weallmonkeys #Notoracism” ameandika Drogba katika picha aliyopost akiwa na ndizi huku akijaribu kusinzia.
“Say No to Racism” ameandika Davido na kupost picha akiwa anakula ndizi.
Mastaa wengine wa wa rangi zote duniani wameendelea kupost picha za aina hiyo kupinga vitendo vya kibaguzi.
Baada ya mechi ambayo aliyotupiwa ndizi, Alves alisema:
“Tumeumia na haya maumivu kwa muda, unatakiwa kuyachukua na dozi ya heshima. Hatutaweza kubadili vitu kirahisi. Kama hauipi umuhimu, hawafanikishi malengo yao. Sijui alikuwa nani, lakini namshukuru yeyote aliyetupa ndizi, ilinipa nguvu ya kupiga crosses mbili ambazo zilipelekea kufunga goli.”
Mtu aliyerusha ndizi alifahamika na amefungiwa kuingia uwanjani hapo katika maisha yake yote

Baadhi ya picha za watu maarufu:
 










Zaidi ya hao,mwingine mwanasoka mahiri kutoka barani Africa anae kipiga vyema ndani ya club ya Chelsea raia wa Cameroon Samuel Eto'o na yeye aliangusha picha mbili kisha kuandika kwenye mtandao wa Twitter huku akiandika makubwa kwa kuanza kuomba msamaha kisha kauliza "nani anataka kuwa nyani kama mimi?"


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi