Wakati mwingine mtu akikujali ili kumkumbuka zaidi unachora tatoo katika mwili wake nadhani sasa hivi hii ndio habari ya town, zamani tulikuwa tunanunua zawadi mfano nguo aivae kila siku awe anakukumbuka ama perfume akijipulizia ajue fulani ndio kaniletea ila kwa sasa mahaba ya ma BFF kaka na dada bf/gf ni tatoo
Halima Kimwana |
je wewe unaweza ukafanya hili kwa umpendae? sio lazima awe hubby hata kama Halima ama bff toa yako maoni ili tujuzane haswaaa
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!