Mwimbaji wa Pop, Miley Cyrus alilazimika kuahirisha tamasha
lake lilikuwa limepangwa kufanyika Jana (April 15) huko Marekani baada
ya kuzidiwa na kulazwa hospitalini.
Waandaji wa tamasha hilo walitoa tamko rasmi na kueleza kuwa mwimbaji huyo alisumbuliwa na matatizo ya allergy na daktari alishauri apumzike wakati akipewa matibabu hivyo asingeweza kupanda jukwaani usiku huo kama ilivyokuwa imepangwa.
Mwimbaji huyo alitweet kuonesha jinsi alivyovunjika moyo kwa kushindwa kuperform.
“I wanted so badly 2 b there3 2night.” Alitweet na kisha kuongeza tweet nyingine yenye picha inayomuonesha akiwa amelazwa hospitalini na amevaa gauni maalum la wagonjwa.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!