Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HII NDO HORODHA KAMILI YA MATCH ZOTE ZA MICHUANO YA "CECAFA NILE BASSIN CUP" AMBAYO FLAMBEAU DE L'EST ITAIWAKILISHA BURUNDI

HII NDO HORODHA KAMILI YA MATCH ZOTE ZA MICHUANO YA "CECAFA NILE BASSIN CUP" AMBAYO FLAMBEAU DE L'EST ITAIWAKILISHA BURUNDI

Written By Unknown on Tuesday, 13 May 2014 | Tuesday, May 13, 2014



 
COUNCIL OF EAST AND CENTRAL AFRICA FOOTBALL ASSOCIATIONS
Affiliated to FIFA & CAF. Location: Nyayo stadium, Nairobi-Kenya

Fahamu kuwa kwenye michuano hiyo Burundi imewakilishwa na timu ya Flambeau de l'Est ambayo nikutoka kwenye daraja la kwanzaa,na imewekwa kwenye kundi D pamoja na Hey Al Arab ya (Sudan),Arab Contract ya (Egypte) na Enticelles ya (Rwanda) match ya kwanza ya Flambeau itachezwa hiyo tarehe 22 mwezi huu wa Mai itakuwa ikipambana na hiyo Arab Contract ya Misri,kisha irudi kucheza tena tarehe 24 za huu mwezi wa Mai watakuwa wenyeji wa hiyo timu ya Enticelles ya Rwandaa na match yao ya mwisho itakuwa hiyo tarehe 26 za huu mwezi tena wa mai yani pumziko la siku mbili duu hatareee watakuwa pamoja na hiyo timu ya Sudan ambayo ni Hey Al arab.
 
 
Mtandao huu unachukuwa fursa ya kuwaomba kwa yule yote Mrundi ambae ana moyo wa upendo na mpenzi ya dhati na soka la Burundi,basii hii ndo time yako nzuri yakuiombea timu hii aidha hawa ma balozi wa Burundi kwenye michuano hiyo waweze kufanya powa,ni duwa zenu tu na ushirikiano wenu ndivyo vitawafanya kushindaa.
 
Date: Monday 12th May 2014

RE: CECAFA NILE BASIN CUP WINNERS CUP FIXTURE

Group   ‘A’
Group    ‘B’
Group   ‘C’
Group  ‘D’
El Merreikh 
El Merreikh Al Fasher 
Al Ahli Shandi 
Hey Al Arab 
Victoria University 
Mbeya City 
Al Masry 
Arab Contractors 
Malakia
Elman
Defence
Flambeau de l’Est  
Polisi 
AFC Leopards 
Dikhil 
Etincelles

No
Date
Fixture
Gp
Venue
Time
1.
Thr.22.05.14
Victoria University VsMalakia
A
Khartoum
05:00 pm
2.
Thr.22.05.14
El Merreikh  VsPolisi
A
Khartoum
08:00 pm
3.
Thr.22.05.14
Arab Cont. VsFlambeau de l’Est  
D
P/Sudan
05:00 pm
4.
Thr.22.05.14
Hey Al Arab VsEtincelles
D
P/Sudan
08:00 pm
5.
Fri. 23.05.14
AFC Leopards  VsElman
B
Khartoum
05:00 pm
6.
Fri. 23.05.14
El Merreikh Al Fasher VsMbeya
B
Khartoum
08:00 pm
7.
Fri. 23.05.14
Al Masry VsDikhil 
C
Shandi
05:00 pm
8.
Fri. 23.05.14
Al AhliShandi VsDefence
C
Shandi
08:00 pm
9.
Sat.24.05.14
Polisi Vs  Victoria University
A
Khartoum
05:00 pm
10.
Sat.24.05.14
MalakiaVs El Merreikh 
A
Khartoum
08:00 pm
11.
Sat.24.05.14
Flambeau de l’Est  VsEtincelles
D
P/Sudan
05:00 pm
12.
Sat.24.05.14
Arab Contractors VsHey Al Arab 
D
P/Sudan
08:00 pm
13.
Sun.25.05.14
Mbeya City Vs AFC Leopards 
B
Khartoum
05:00 pm
14.
Sun.25.05.14
Elman VsEl Merreikh Al Fasher 
B
Khartoum
08:00 pm
15.
Sun.25.05.14
DefenceVsAl Masry 
C
Shandi
05:00 pm
16.
Sun.25.05.14
DikhilVsAl AhliShandi 
C
Shandi
08:00 pm
17.
Mon.26.05.14
PolisiVsMalakia
A
Khartoum
05:00 pm
18.
Mon.26.05.14
El Merreikh VsVictoria University
A
Khartoum
08:00 pm
19.
Mon.26.05.14
Arab Contractors VsEtincelles
D
P/Sudan
05:00 pm
20.
Mon.26.05.14
Hey Al Arab VsFlambeau de l’Est  
D
P/Sudan
08:00 pm
21.
Tue.27.05.14
Elman VsMbeya City
B
Khartoum
05:00 pm
22.
Tue.27.05.14
El MerreikhFasher  Vs AFC Leopard
B
Khartoum
08:00 pm
23.
Tue.27.05.14
DikhilVsDefence
C
Shandi
05:00 pm
24.
Tue.27.05.14
Al AhliShandi  VsAl Masry 
C
Shandi
08:00 pm

Wed.28.05.14
REST DAY





QUARTER FINALS



25.
Thr.29.05.14
B1 VS A2
-
TBD
TBD
26.
Thr.29.05.14
A1 VS B2
-
TBD
TBD
27.
Fri.30.05.14
D1 VS C2
-
TBD
TBD
28.
Fri.30.05.14
C1 VS D2
-
TBD
TBD

Sat.01.06.14
REST DAY

-
-


SEMI FINALS

-
-
29.
Sun.02.06.14
WINNER 25 VS WINNER 26

TBD
TBD
30.
Sun.02.06.14
WINNER 27 VS WINNER 28

TBD
TBD

Mon.03.06.14
REST DAY

-
-


FINALS & 3RD PLACE PLAY OFF

-
-
31.
Tue.04.06.14
LOSER 29 VS LOSER 30

TBD
TBD
32.
Tue.04.06.14
WINNER 29 VS WINNER 30

TBD
TBD

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi