Baada ya kocha wa timu ya taifa ya Burundi rai mwarabu mwenye asili ya Misri Nseem LOTFY kurejea nchini Jumanne hii ya tarehee 6 aliweza kufikia kwenye kazi yakuwakusanya wachezaji 23 akishirikiana na msadizi wake ambao walihitajika haraka iwezekanavyo kuingia kwenye kambi ya mazowezi yakujiandalia
michuano ya AFCON 2015,fahamu horodha hiyo ya hao wachezaji 23 alio
okota kocha huyo kuwa ndio watakao yaanza mazowezi ya hii leo May 8
mwaka 2014 kwenye uwanja wa mpira wa mwana wa Mfalme Louis Rwagasore.
Taarifa zilizo ripotiwa na mtandao wa habari wa shirika la mpira shirika zimetaja kuwa Wachezaji wanao toka kwenye ligi za nchi jirani watajumuika na wangine kwenye kambi ya mazowezi kwa kuwasubiria hao wangine kutoka nchi za Africa ya mbali,Ulaya na Marekani.
Horodha ya Wachezaji hao 23 walio okotwa na kocha mwarabu Nseem LOTFY akishirikiana na msaidizi wake ndo hiyi hapa chini:
Kwa ushirikiano mzuri wa
Wizara ya michezo na utamaduni na shirika la mpira la Burundi ambalo ni
FFB wamefanya kila liwezekanalo ili kuwashusha wale wakali kutoka nchi
tafauti tafauti za mbali na Burundi ambapo wanapo cheza kwenye vilabu
tafauti mfano kama pande za Africa ya mbali au ulaya na hata Marekani :
Taarifa zilizo ripotiwa na mtandao wa habari wa shirika la mpira shirika zimetaja kuwa Wachezaji wanao toka kwenye ligi za nchi jirani watajumuika na wangine kwenye kambi ya mazowezi kwa kuwasubiria hao wangine kutoka nchi za Africa ya mbali,Ulaya na Marekani.
Horodha ya Wachezaji hao 23 walio okotwa na kocha mwarabu Nseem LOTFY akishirikiana na msaidizi wake ndo hiyi hapa chini:
Majina yao halisi
|
Vilabu wanavyo chezea
|
BIHA Omar | Vital’o |
ARAKAZA Mac Arthur | Flambeau de l’Est |
RUGUMANDIYE Yvan | Athletico Olympic |
MBANZA Hussein | Inter Stars |
JUMAPILI Iddy | Vital’o |
RASHID Léon | LLB Academic |
NKURIKIYE Léopold | Inter Stars |
NDIKUMANA Yussuf | LLB Academic |
MOUSSA Mossi | Vital’o |
NZIGAMASABO Steve | Vital’o |
NDARUSANZE Claude | LLB Academic |
NAHIMANA Shasiri | Inter Stars |
KAVUMBAGU Didier | Azam |
NDAYISENGA Fuadi | Rayons Sports |
AMISSI Cédric | Rayons Sports |
NIZIGIYIMANA Abdul Karim | Rayons Sports |
SHABAN Hussein | Flambeau de l’Est |
TAMBWE Amissi | Simba sports |
MURUTABOSE Hemedi | Les Guêpiers du Lac |
RUGONUMUGABO Stéphane | LLB Academic |
HAKIZIMANA Issa | LLB Academic |
KIZA Fataki | LLB Academic |
HAKIZIMANA Pascal | Flambeau de l’Est |
Wachezaji
|
Nchi na Vilabu wanavyo chezea
|
NTIBAZONKIZA Saidi |
Pologne - Krakow
|
Armel Junior DAGRAU |
Canada – Québec
|
NDUWARUGIRA Christophe |
Mozambique
|
NSABIYUMVA Frédéric |
Afrique Du Sud
|
KWIZERA Pierre |
Côte d’Ivoire
|
NZOKIRA Jeff |
Djibouti
|
NDIKUMANA Yamin Selemani |
Albanie
|
NAHAYO Valery |
Belgique
|
HABARUGIRA David |
Belgique
|
Lateef Elford Aliyu |
Malte
|
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!