Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HIVI NDIVYO MANCHESTER CITY ILIVYO SHEHEREKEA WAO UBINGWA WA LIGI KUU YA B.P.L

HIVI NDIVYO MANCHESTER CITY ILIVYO SHEHEREKEA WAO UBINGWA WA LIGI KUU YA B.P.L

Written By Unknown on Monday, 12 May 2014 | Monday, May 12, 2014

Klabu ya Manchester City imebeba taji la ligi kuu nchini England kwa mara ya pili katika misimu mitatu na mchana wa leo watafanya sherehe kubwa katika dimba lao la Etihad kushangilia mafanikio hayo.
Magoli ya Samir Nasri na Vincent Kompany yaliisaidia Man City kushinda mabao 2-0 dhidi ya West Ham na kufanya ushindi wa mabao 2-1 waliopata Liverpool kwenye uwanja wa Anfield dhidi ya Newcastle usiwe na maana yoyote.
Baada ya kipyenga cha mwisho kupulizwa, maelfu ya mashabiki wa Man City waliingia uwanjani kuwapongeza mashujaa wao.
Tazama picha hapo chini jinsi Man City walivyoshangilia kubeba ubingwa wa EPL. 


Champions of England: Manchester City have been crowned Premier League champions for the second time in three seasons after beating West Ham 2-0 at the Etihad Stadium
Mabingwa wa England: Manchester City wamebeba ndoo ya pili katika misimu mitatu baada ya kuifunga West Ham mabao 2-0

Captain fantastic: Vincent Kompany lifts the Premier League trophy in front of his ecstatic teammates


Jubilation: Vincent Kompany lifts the Premier League trophy to mark the end of a magnificent season for City
Sherehe: Vincent Kompany akibeba kombe la ligi kuu kuashiria mwisho wa msimu wa mafanikio kwa Man City.
Happy chaps: Joleon Lescott, Vincent Kompany and Joe Hart pose for a selfie in the changing room
Washikaji: Joleon Lescott, Vincent Kompany na Joe Hart wakipiga picha pamoja kwenye chumba cha kubadilishia nguo.
Master and commander: Captain Vincent Kompany and manager Manuel Pellegrini parade the trophy bedecked in blue ribbons again
Mwalimu na kamanda: Nahodha Vincent Kompany na bosi wake Manuel Pellegrini wakishika kombe la ligi kuu.

Tickertape: Sergio Aguero lifts the trophy for the second time amid a rain of blue and white ribbons
Sergio Aguero akinyanyua kombe kwa mara ya pili akiwa na Man City
Airborne: The players grab hold of Manuel Pellegrini to throw him in the air
Mzee juu juu: Wachezaji wa Man City wakimbeba na kumrusha hewani Manuel Pellegrini
Airborne: The players grab hold of Manuel Pellegrini to throw him in the air
Cheer: Even Manuel Pellegrini managed a smile as he was carried around by his players
Furaha: Hata Manuel Pellegrini alitabasamu alipobebwa na wachezaji wake
Proud moment: Pellegrini poses for photographers with a big grin on his face as he holds the trophy
Wakati wa furaha: Pellegrini akipozi katika picha na kombe lake la kwanza Man City
Words of thanks: This City supporter showed his appreciation to Liverpool captain Steven Gerrard for slipping against Chelsea and allowing Demba Ba to score a vital goal
Maneno ya shukurani
Invasion: Thousands of City fans stream on to the pitch at the Etihad Stadium after the full-time whistle
Maelfu ya mashabiki wa Man City walivamia uwanja wa Etihad baada ya kipyenga cha mwisho

Family man: Kompany holds the Premier League trophy as he poses for a photograph with his family
Mzee wa familia: Kompany akiwa katika pozi la picha kwa kushika kombe la ligi kuu pamoja na familia yake
Smokin': Fans storm the pitch to mob their heroes after the title is secured on the final afternoon

What a day: Two City supporters celebrate on the pitch after the 2-0 win over West Ham
Thank you: These fans paid tribute to the club's Arab ownership for their investment

On the pitch! Supporters young and old enjoyed the jubilant title celebrations
Sign of the times: City fans hold up a banner celebrating their second title win in three years
Shangwe tupu Etihad, ubingwa raha sana

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi