Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HIZI NDIZO SABABU ZA KUTANGAZWA KUWA ACADEMIE TCHITE NDIO WAWAKILISHI WA BURUNDI KWENYE KOMBE LA CECAFA NILE CUP BADALA YA FLAMBEAU DE L'EST.

HIZI NDIZO SABABU ZA KUTANGAZWA KUWA ACADEMIE TCHITE NDIO WAWAKILISHI WA BURUNDI KWENYE KOMBE LA CECAFA NILE CUP BADALA YA FLAMBEAU DE L'EST.

Written By Unknown on Wednesday, 14 May 2014 | Wednesday, May 14, 2014

Leo mapema asubuhi kwenye kipindi cha Morning Sport kipindi ambacho kinarushwa na Radio Rema Fm kinacho endeshwa na Rashid Alfred King akiwa na mwenzie Elyse Ntiyubahwe,kwenye Morning Sports ya leo asubuhi waliweza kubainisha zile taarifa ambazo zilikuwa zachinichinii kuwa inawezekana timu ya Flambeau de l'Est ikaondolewa kwenye kombe la CECAFA NILE CUP nakurudiliwa na timu ya Academie Tchite,ubadilishwaji wa timu hizo mbili za Burundi kwenye kombe hilo la CECAFA NILE CUP ulikuja baada yakuwa ndani ya  uongozi wa shirikisho la soka la nchini Burundi FFB kuwa yakwamba waliweza kujichanganya nakuweka timu ambayo siyo na vile timu ambayo ingepashwa kuiwakilisha Burundi kwenye michuano hiyo ni ile ambayo ilishiriki kwenye michuano ya Confederation Cup mwaka huu na ile iliyo nyakuwa kombe la rais nayo sinyingine ni Academie Tchite
Fahamu kuwa kombe hili la CECAFA NILE CUP ni kombe jipya hivyo kulianza kutonya fununuu kuwa kuna baadhi ya watu ambao wako ndani ya shirikisho la soka la nchini Burundi FFB walikuwa na mpango wakuipa nafasi si yao Flambeau de l'Est nakutaka kuifanyia ka uzibe timu hiyo ya Academie Tchite lakini mwishowe mambo yaliweza kuwekwa wazi kuwa si Flambeau ndio ambayo inastahili kuiwakilisha Burundi kwenye kombe hilo bali ni Academic Tchite.
 

Mtandao huu unachukuwa fursa kwa wapenzi wasomaji kuweza kubadili calenda ambayo ilikuwa imetolewa jana na mtandao huu kwa mujibu wa CECAFA kwenye nafasi ya Flambeau de l'Est iwekwee timu hiyo ya Academice Tchite
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi