Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » KWENYE JAHAZI LA URENO LENYE WACHEZAJI 30 WATAKAO SHIRIKI KWENYE KOMBE LA DUNIA HUKO BRAZIL CHRISTIANO RONALDO ALIONGOZAA

KWENYE JAHAZI LA URENO LENYE WACHEZAJI 30 WATAKAO SHIRIKI KWENYE KOMBE LA DUNIA HUKO BRAZIL CHRISTIANO RONALDO ALIONGOZAA

Written By Unknown on Wednesday, 14 May 2014 | Wednesday, May 14, 2014

Ureno imetaja kikosi chake cha awali cha wachezaji 30 kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil, huku nyota wa Real Madrid na mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo akiongoza jahazi.
Ronaldo na Ureno yake wapo kundi moja na Ujerumani, Marekani na USA na wataanza kampeni zao za kusaka ubingwa dhidi ya Ujerumani juni 16 mwaka huu.
Kocha mkuu Paulo Bento ametaja kikosi cha awali cha wacheza 30 kitakachopunguzwa mpaka kufikia 23 tayari kwa safari ya Brazil.
Ronaldo ameitwa pamoja na nyota wenzake wa Real Madrid, Simon Pepe na Fabio Coentrao.
Wakati huo huo mchezaji wa Porto, Ricardo Quaresma amejumuishwa baada ya kureja katika klabu yake ya zamani mapema msimu huu.
Walinda Mlango: Anthony Lopes (Lyon), Beto (Sevilla), Eduardo (Braga), Rui Patricio (Sporting Lisbon)

Mabeki: Andre Almeida (Benfica), Antunes (Malaga), Bruno Alves (Fenerbahce), Fabio Coentrao (Real Madrid), Joao Pereira (Valencia), Neto (Zenit St Petersburg), Pepe (Real Madrid), Ricardo Costa (Valencia), Rolando (Inter)

Viungo: Andre Gomes (Benfica), Joao Mario (Vitoria), Joao Moutinho (Monaco), Miguel Veloso (Dynamo Kiev), Raul Meireles (Fenerbahce), Ruben Amorim (Benfica), William Carvalho (Sporting Lisbon)

Washambuliaji: Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Eder (Braga), Helder Postiga (Lazio), Hugo Almeida (Besiktas), Ivan Cavaleiro (Benfica), Nani (Manchester United), Rafa (Braga), Quaresma (Porto), Varela (Porto), Vieirinha (Wolfsburg).
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi