Baada ya kujiangalia kwenye kioo na kutafakari maisha yake, bado
Jaguar haoni kama kuna sababu ya kufanya kazi na aliyewahi kuwa hasimu
wake mkubwa katika muziki,ambae ni Prezzo.
Akiwa Tanzania, Prezzo alikaririwa akieleza kuwa hana tatizo lolote na Jaguar na kwamba yuko tayari kufanya nae kazi endapo ataridhia lakini Jaguar alipoulizwa aliita hiyo kuwa ‘ndoto ya mchana’.
Jaguar anadhani Prezzo ameshindwa kumkabili na ndio maana ameamua kujiunga nae.
“Making peace in an interview is a good strategy for Prezzo. After all, if you can't beat them, join them. However, if he thinks he is going to work with me, he must be daydreaming.” Amesema Jaguar.
Jaguar na Prezzo waliwahi kurushiana maneno mara kwa mara huku kila mmoja akitamba kuwa ana mafanikio zaidi na anafanya muziki mzuri zaidi.
Wakati Jaguar akieleza kuwa yeye alipata mafanikio kwa kuhangaika yeye mwenyewe wakati Prezzo alivikuta tu anavitumia, Prezzo aliwahi kusema kuwa hamfahamu kabisa Jaguar na kwamba hafahamu kama ni mcheza karate, “the only Jaguar I know is a car.”

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!