Jana (May 11) ilikuwa siku maalum ya mama duniani (mothers day)
ambapo watu wengi walijaribu kuionesha dunia jinsi wanavyowathamini na
kuwapena mama zao.
Wana ndoa watarajiwa Kanye West na Kim Kardashian ambao ni wazazi wa North Worst wao pia walioungana na watu wengine duniani, lakini Kanye West yeye alimuwakilisha North West kwa kumpa zawadi mama wa mwanae ‘mama north West’ kwa kumpa zawadi ya maua yaliyotengenezwa kama ukuta.
“I woke up to a wall of roses, hydrangeas and peonies!!! I have the best fiancĂ© in the world! I love you so much baby!!!! #HappyMothersDay (sic).”
Kim K aliandika kwenye Instagram na kupost picha ya zawadi.
Kim Kardashian pia alipost picha akiwa amejilaza huku amemshikilia mwanae kama anataka kumbusu na kueleza kuwa mtoto huyo amebadili maisha yake.
“This little girl has changed my world in more ways than I ever could have imagined! Being a mom is the most rewarding feeling in the world! Happy Mothers Day to all of the moms out there! (sic).”
Kanye na Kim Kardashian wanategemea kufunga ndoa May 24 mwaka huu huko Paris, Ufaransa.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!