Kiungo wa Manchester United, Adnan Januzaj ameichezea mechi ya kwanza
Ubelgiji Jumatatu usiku ikiibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya
Luxembourg katika mchezo wa kirafiki ambao mshambuliaji wa Chelsea,
Romelu Lukaku alifunga mabao matatu.
Lukaku alifunga bao la kwanza dakika ya tatu, akimalizia pasi ya Marouane Fellaini. Joachim aliisawazishia Luxembourg dakika ya 13, lakini Lukaku akaifungia Ubelgiji bao la pili dakika 10 baadaye.
Nyota wa United, Januzaj alichezea mechi yake ya kwanza kikosi cha Ubelgiji akitokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Marc Wilmots, huku Vincent Kompany na Eden Hazard wakipumzishwa.
Januzaj, mwenye umri wa miaka 19,
alichagua kuchezea Ubelgiji mwezi uliopita licha ya kwamba ana asili ya
Albania, Kosovo, na haya England.
Lukaku alifunga bao la kwanza dakika ya tatu, akimalizia pasi ya Marouane Fellaini. Joachim aliisawazishia Luxembourg dakika ya 13, lakini Lukaku akaifungia Ubelgiji bao la pili dakika 10 baadaye.
Nyota wa United, Januzaj alichezea mechi yake ya kwanza kikosi cha Ubelgiji akitokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Marc Wilmots, huku Vincent Kompany na Eden Hazard wakipumzishwa.
Lukaku, ambaye alikuwa kwa mkopo Everton msimu uliopita, alikamilisha
mabao yake matatu kabla ya Nacer Chadli kufunga la nne na Kevin De
Bruyne kufunga la tano.
Hiki ndicho kikosi kamili cha Ubelgiji:
Belgium: Courtois, Alderweireld (Vanden Borre 46), Vermaelen (Van Buyten 46),
Kompany, Vertonghen (Lombaerts 77), Witsel (Defour 46), Fellaini, Eden
Hazard (Chadli 46), Mirallas (Januzaj 46), De Bruyne, Lukaku (Origi 61).
Subs
Not Used: Mignolet, Bossut, Mertens,
Dembele, Ciman, Kaminski.
Goals: Lukaku 3, 23, 53, Chadli 71, De Bruyne 90 pen.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!