Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » SAMIR NASRI APIGWA MKASI KWENYE KIKOSI CHA AWALI CHA TIMU YA TAIFA YA UFARANSA HUKU VARANE AKIISHIKA NAFASI YAKE

SAMIR NASRI APIGWA MKASI KWENYE KIKOSI CHA AWALI CHA TIMU YA TAIFA YA UFARANSA HUKU VARANE AKIISHIKA NAFASI YAKE

Written By Unknown on Wednesday, 14 May 2014 | Wednesday, May 14, 2014

Kiungo wa club ya Manchester City, Samir Nasri ameachwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Ufaransa kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil. Nasri alitarajia kuachwa na kocha Didier Deschamps baada ya Raphael Varane kukabidhiwa nafasi yake. Franck Ribery, Karim Benzema, Patrice Evra, Paul Pogba na Yohan Cabaye wote wamejumuishwa.
  Kikosi kizima hiki hapa:
 
Walinda Mlango:
Hugo Lloris (Tottenham), Steve Mandanda (Marseille), Mickeal Landreau (Bastia)  
Walinzi:
Raphael Varane (Real Madrid ), Mamadou Sakho (Liverpool ), Mathieu Debuchy (Newcastle), Laurent Koscielny (Arsenal ), Lucas Digne (Paris), Eliaquim Mangala (Porto), Bacary Sagna (Arsenal), Patrice Evra (Manchester United)  
Viungo:
Yohan Cabaye (PSG), Paul Pogba (Juventus), Blaise Matuidi (PSG), Moussa Sissoko (Newcastle), Clement Grenier (Lyon), Rio Mavuba (Lille), Mathieu Valbuena (Marseille).  
Washambuliaji:
Karim Benzema (Real Madrid), Franck Ribery (Bayern Munich), Antoine Griezmann (Real Sociedad), Olivier Giroud (Arsenal), Loic Remy (Newcastle)  
Reserve list:
Remy Cabella (Montpellier), Maxime Gonalons (Lyon), Alexandre Lacazette (Lyon), Loic Perrin (Saint-Etienne), Stephane Ruffier (Saint-Etienne), Morgan Schneiderlin (Southampton), Benoit Tremoulinas (Saint-Etienne).
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi