Home »
michezo ulaya
 , 
news
 » SOMA VILE FIKRA ZA MCHEZAJI HUYU ZILIPO KUWA ZINAELEKEA BAADA YAKUPATA MAJERAAHA YA MUDA MREFU
SOMA VILE FIKRA ZA MCHEZAJI HUYU ZILIPO KUWA ZINAELEKEA BAADA YAKUPATA MAJERAAHA YA MUDA MREFU
Written By Unknown on Tuesday, 6 May 2014 | Tuesday, May 06, 2014
Kiungo wa klabu ya 
Arsenal, Abou Diaby amebainisha kuwa alifikiria kustaafu kufuatia 
majeruhi ya muda mrefu ya goti yanamuandama. Nyota huyo wa kimataifa wa 
Ufaransa, ambaye amekaa nje ya uwanja kwa miezi 13 kufuatia kuumia goti,
 alikuwepo benchi wakati Arsenal ilipoigaragaza West Bromwich kwa bao 
1-0 juzi.Hiyo imekuwa muonekano wake wa kwanza katika kikosi hicho toka
 alipoumia mazoezini mwaka jana na kiungo huyo mwenye miaka 27 
amebainisha alikuwa akifikiria kustaafu kwa kujiuliza uwezo wake pindi 
atakaporejea. Hata hivyo, Diaby anajiandaa kuwa sehemu ya kikosi cha 
Arsenal kitakachojiandaa na mechi mbili za zilizobakia msimu huu ikiwemo
 fainali ya Kombe la FA.
 TOA MAONI YAKO HAPA CHINI  
 
Labels:
michezo ulaya,
news



0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!