Jennifer Lopez amewaongezea kiu mashabiki wake wanaoisubiri
albam yake ya kumi aliyoipa jina la A.K.A (Also Known As) baada ya kutoa
cover art ya albam hiyo inayomuonesha akiwa kwenye vazi jekundu kama miss Valentine.
Akiongea na Jimmy Kimmel, mwimbaji huyo alisema mwanzoni alikuwa anafikiria kati ya majina mawili, Same Girl na A.K.A na mwisho akaamua kuchagua A.K.A.
“Nahisi kama nimekuwa napewa majina mengi, na nafanya mambo mengi tofauti.” Amesema J.Lo.
Albam hiyo imepangwa kuachiwa rasmi June 17 na imebeba nyimbo kama ‘Same Girl’, ‘Girls’ na ‘I Lu Ya Papi’ aliyomshirikisha Max Martin na ‘First Love’.
Wakali wengine walioshirikishwa kwenye albam hiyo ni pamoja na Chris Brown (Emotions), Robin Thicken a Wiz Khalifa (Loveline), Mxwell (I wanna Love), Nas (Trouble), Rick Ross (No Worries) na Pitbull (Big Booty).

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!