Katika kura zilizopigwa na waandishi hao Suarez alipata asimilia 52 akiwafuatiwa na mchezaji mwenzake Steven Gerrard huku Yaya Toure wa Manchester City akishika nafasi ya tatu. Suarez ambaye pia alitajwa kama mchezaji bora na Chama cha wachezaji wa Kulipwa nchini humo anatarajiwa kupokea zawadi yake hiyo katika sherehe za chakula cha usiku zitakazofanyika jijini London Mei 15.
Home »
michezo ulaya
» SUAREZ APEWA NYINGINE TUZO YA MCHEZAJI BORA NA WAANDISHI WA HABARI WA MICHEZO
SUAREZ APEWA NYINGINE TUZO YA MCHEZAJI BORA NA WAANDISHI WA HABARI WA MICHEZO
Written By Unknown on Tuesday, 6 May 2014 | Tuesday, May 06, 2014
Mshambuliaji nyota wa
Liverpool, Luis Suarez ametajwa kuwa Mchezaji bora wa Mwaka wa Chama cha
Waandishi wa Habari za Michezo nchini Uingereza. Nyota huyo wa
kimataifa wa Uruguay mwenye umri wa miaka 27 amefunga mabao 30 msimu huu
katika Ligi Kuu na kuiwezesha timu yake kufukuzia taji la ubingwa toka
walipofanya hivyo mwaka 1990.
Katika kura zilizopigwa na waandishi hao Suarez alipata asimilia 52 akiwafuatiwa na mchezaji mwenzake Steven Gerrard huku Yaya Toure wa Manchester City akishika nafasi ya tatu. Suarez ambaye pia alitajwa kama mchezaji bora na Chama cha wachezaji wa Kulipwa nchini humo anatarajiwa kupokea zawadi yake hiyo katika sherehe za chakula cha usiku zitakazofanyika jijini London Mei 15. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Katika kura zilizopigwa na waandishi hao Suarez alipata asimilia 52 akiwafuatiwa na mchezaji mwenzake Steven Gerrard huku Yaya Toure wa Manchester City akishika nafasi ya tatu. Suarez ambaye pia alitajwa kama mchezaji bora na Chama cha wachezaji wa Kulipwa nchini humo anatarajiwa kupokea zawadi yake hiyo katika sherehe za chakula cha usiku zitakazofanyika jijini London Mei 15.
Labels:
michezo ulaya
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!