Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » BAADA YA KUTOKA JELA C.BROWN YUPO STUDIO NA J.BIEBBER WAKIANDAA MUZIKI KWA AJILI YA MASHABIKI WAO.

BAADA YA KUTOKA JELA C.BROWN YUPO STUDIO NA J.BIEBBER WAKIANDAA MUZIKI KWA AJILI YA MASHABIKI WAO.

Written By Unknown on Tuesday, 17 June 2014 | Tuesday, June 17, 2014

Justin Bieber na Chris Brown wameingia studio kupika muziki mzuri kwa ajili ya mashabiki wao Jumatatu, June 16.
Bieber amepost picha kwenye Instagram akiwa na Chris Brown na kuandika , “Studio, me and CB did 1 for the fans.”
Bado halijafahamika jina la wimbo na lini wimbo huo utatoka na utakuwa kwenye albam au ni wimbo utakaokuwa unajitegemea.
Hata hivyo, sio mara ya kwanza kwao kufanya wimbo pamoja, mwaka 2011 Chris Brown alimshirikisha JB kwenye ‘Next to You’ uliokuwa kwenye albam yake ya F.A.M.E.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi