Ukipewa mudaa ukae uzifikirie speed ambazo anazo kwa sasa mwanamuziki huyu anae julikana kama Happy Famba naimani utaakaa hadi kichwa kuuma na mwishowe kusaliya kukosa jibu.
Utawasikia wasanii wengi wanapenda kutumia neno eti "Niko Serious" basi naimani kwa mkalii huyu ni zaidi ya neno hilo kwa sababu wale wanao tumia hilo neno huwa tunashindwa kuwaelewa huo U Serious wao uko wapi.
Mkalii huyu anae jiita Show Man ambae yupo chini ya Label ya Africa Sound Record hivi karibuni aliachia Video yake ya wimbo wake wa "Jigi Jigiwee" ambayo kwa sasa kona zote ni habari ya video iliyo tangazwa Exclusif na mwanahabari Muheshimiwa Ismail Niyonkuru kuwa imeonekana kwenye kipindi cha "MPYA" cha kituo cha televisheni cha EATV cha nchini Tanzania baadae kwenye Familly Tv ya Rwanda na bila kusahau kuna fununu zakuwa hata pande za ulaya kwenye Tv kadhaa zahuko Sweden ziliicheza Video hiyo.
Tuachane na hiyo video,mkali huyu wa kuvaa kwa sasa anatarajia kuachia audio mpya ambayo ipo ki Remix Remix ambayo kwa sasa kumewekwa mkono wa Producer mahiri nchini Burundi anae julikana kwa jina la Lizzer Classic ambae na yeye amekula dili kwa kampuni hiyo.
Remix hiyo inakuja kutoka kwa ile ngoma yake ya zamanii iitwayo kwa jina la Ndani ya Club ya Kitambo saana ambayo ilimpa umaarufu mkali huyu kipindi hicho akianza kujikita kwenye muziki akiachana na mitindo ya unenguajii.
Sisi kama familiya ya Ismail Niyonkuru tuko pamoja na wewe kwa kila jambo lote lakukuendelezaa ungana nasi hapa Ismail Niyonkuru twitter Ismail Niyonkuru ,Instagram Ismail Niyonkuru

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!