Kukiwa kunasaliya siku chache tu za kuhesabilika ili waumini wa Dini ya Kiislam kutoka Burundi na duniani kote kwa pamojaa waanze mfunga wa Ramadhani,
Kumezuka makubwaa kwenye mtandao wa Facebook wa mwanamuziki Sat-b baada yakupatikana picha ikimuonesha mwanamuziki huyo akishikiliya chupa la pombe aina ya Primus.
Sat-b wengi wanamfaham zaidi kwa jina lake hilo ila lake jina halisi la baba na mama ni Bizimana Abubakar Karume,ni mtoto wa kiislam kwa baba na mama huku mama ake ya mwanamuziki huyu inasemekana ni mama mwenye itikadi kali ya dini hiyo ya Kiislam huku kujistiri kwa jilbabi kwake imekuwa kama desturi.
Tukitupilia mbali hayo hivi karibuni Kumekuwa kukiripotiwa huku na kulee habari zinazo elezea tabia za Mkali huyu wa "Walimwengu" huku zaidi fununu zikipenya kuwa mkali huyu ni mteja mzuri wa Brarudi kwa bidhaa zake kama vile hiyo Primus na kadhalika.
Mcheki Sat-b hapa akijifia na rahaa na ki Primus chake nyie mkikaliya blaa blaa tu:
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!