Gari
aina hizi zimekuwa maarufu machoni mwa watu hususanii kwa walee raia wa
jijini Bujumbura,ni moja mwa aina ya gari ambazo zimekuwa nyingi saana
mjini Bujumbura,ni Toyata Carina S.I ikiwa kama imerudiliya S.I,gari hii
hivi karibuni mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru alikuwa anaitembezewa kwa
milioni 9 ambayo imeeneza kila kitu redio yenye mdundoo,ma tyra
mapya,engine yake ingali mpya,viti vya ndanii vingali kwenye upya wakee
hata ukiinusaa ingali na kaarufu ka upya upya najuwa watu wangu wa nguvu
mnajuwaa harufu ya kitu kipya.
Mwanamuziki
Yoya analimiliki gari hilo,town utamkuta akiwaliya madada wa mjini pozi
huku akiwekaa mkono wake wa kuume kwenye dirisha la mlango huku mkono
mwengine kwenye osukani akiwaliya kisambusaa ukichangia na vile Mungu
baba kamjaliya U handsome.
------------------------------------------------------------------------------------
Kwa bei ya mjini sasa gari hii ukiwa na pesa ya haraka yani Cash si chini ya milioni 3,4 au wakikuzimba saana ni 5 mjini hapo sasa,ila ukiwa na wajuzi wa kununuwaa ma gari na kama hauko mjuzi wa hizo kazi hata milioni 10 utatowaa.
-----------------------------------------------------------------------------------
Hili
gari ni moja mwa gari kwa sasa tunazungumzaa ziko ghali mno mnoo
kabisaa,fanya kama unajipa mtihanii wendee ukae town katikati uzihesabuu
hizi gari,hesabu yake utakuta ya hizi gari si sawa sawa na T.I au S.I
hapana hizi ni ndogo saana Burundi,na wenye waliyo anza kuzimiliki
ilikuwa ni warabu na wale matajiri wachimba zahabu wa mkoani
Muyinga,inasemekana kwa sasa ni kama milioni 17 ikishuka kutoka kwenye
milioni 20 hivo au 16.Na endapo utaulizaa wanani wanao miliki hizi gari utakuta ni watu matajiri wenye madili yao makubwaa makubwa si mwanamuziki huyu wakurikodia kwa Lyzer Classic wimbo wa elfu 50 eti utanunuwa hilo gari.
Inasemekana hata na huyu msanii si yeye kanunuwaa hilo inadaiwa kanunuliwa na kimwana mwana umoja hivi ambae anakula penzi la mwanamuziki Yvan Musica.
-----------------------------------------------------------------------------------
Kwa
mujibu wa Administrator wa huu mtandao ambae ni Muheshimiwa Ismail
Niyonkuru,alikubali fikra za huyu huu kijana anae itwa Patient Matabaro
zilipo angukia kwa kufikiria kununuwa usafiri,Matabaro wengi mnafahamu
kuwa ndo mshindi wa Tuzo ya Primusic kwa mwaka wa 2013,pindi alipo
jipati kitita cha milioni 15 pesa za Burundi,yani ndoto yakee ilikuwaa
ni kuusafiri tu.
Yani si yeye aliziona anazishikaa mikononii...tulipata tuu taarifa kuwa Matabaro amesha jinunuliya usafiri na kwa sasa unamstiri aibu yakee,Mh Ismail Niyonkuru huwa anafurahishwa saana pale anapo muona kijana huyu anamiliki gari lakee mwenyewee na kuwapiga chini wale wasanii ambao walisha saliya kujiiita ita majina tu, huku kufanya kazi hawafanyi.
Kijana wa juzi ana gari lake wewe mkongwee haunaa hata baiskelii hata Bajajii hunaa.Yani si yeye aliziona anazishikaa mikononii...tulipata tuu taarifa kuwa Matabaro amesha jinunuliya usafiri na kwa sasa unamstiri aibu yakee,Mh Ismail Niyonkuru huwa anafurahishwa saana pale anapo muona kijana huyu anamiliki gari lakee mwenyewee na kuwapiga chini wale wasanii ambao walisha saliya kujiiita ita majina tu, huku kufanya kazi hawafanyi.
Kwa mjini gari hili kwa haraka harakaa ni milionii kama 4 au 3 kwa wale wajuzi wa hizo kazii za kununuwa magari.
--------------------------------------------------------------------------------------
Hili gari ni kama lile lile la Yoya,ila huyu ni mkali mwengine wa zamanii,huyu hauthaminii saana muziki wa Burundi,sababu anazo dili zake za pembenii ambazo zinampa mchuzi mzito kuliko huu muziki.
Ana mambo yake ya ma fashions na madili madili mengine anaitwa Uncle Crazy a.k.a Gisazii.
Ni Toyota Carina S.I yakwakee kabisaa mtanii utamkuta na tudada dadaa twa kirundii rundii ndani ya gari lake akitupa lifti.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!