Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » EXCLUSIF: HUYU NDO MWANAMUZIKI WA BURUNDI AMBAYE AMETANGAZIWA KUWA AMEFARIKI DUNIA!!!

EXCLUSIF: HUYU NDO MWANAMUZIKI WA BURUNDI AMBAYE AMETANGAZIWA KUWA AMEFARIKI DUNIA!!!

Written By Unknown on Wednesday, 11 June 2014 | Wednesday, June 11, 2014

Mapema asubuhi ya hii leo jumatano juni 11 kuliamkaa na uvumi kuwa mkali wa "Mot de Passe" na "Muramumbwirira" namzungumzia nani,si mwengine ni yule mwanamuziki mwenye asili ya kaskazini mashariki mwa nchi ya Burundi ambae ana tambulika kwa jina la Issa Jamal alimaarufu kama Yoya eti amefariki dunia.
Hayo yameibukaa leo baada yakupatikana kwa post kutoka kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook wa account iitwayo Inkumi zo mu Burundi yani "Mabinti wa Burundi" kwa lugha ya kiswahili,huku post hiyo ikiwa na kitu cha muda kama cha saa 8 ikiwa imeandikwaa kwenye ukurasa wa kwanza wa account hiyo.

Mapemaa baada ya kuona kitu hicho mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru aliwezaa kujaribu kuchunguza habari hiyo kama nikwelii aulaa nakuamuwa kumtafuta mwanamuziki huyo kupitia njia ya sim ili kupata ukweli kuhusu habari hiyo.
Ila inasemekana mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru alianza kuingiliwa na hofu pale alipo mpigia kwenye sim yake ya kiganjanii ila hakuwa anapokea na hapo ilikuwa imesha timia kama saa mbili na dakika 10' yani (8h10').
Baadae inasemekana mwanahabari Muheshimiwa Ismail Niyonkuru alijaribu kutafuta namba za watu wake wa karibu ila akawa hana namba hata moja ya ndugu yake wa msanii huyo ila akakumbuka kuwa kuna namba ya jamaa ambae Yoya aliwai kumkutanisha na akamtambulisha kama jamaa yake kwa mwanahabari muheshimiwa Ismail Niyonkuru.
Akajaribu kuitafuta namba hiyo ya huyo jamaa ambae anajulikana kwa jina la Lionel,namba ya huyo Lionel ikapita na akaweza kumpokea.

Alipo mpokea ndo akaanza kumuuliza kama wamesha onana na Yoya,Lionel eti akamwambia kuwa walionana na Yoya jana usikuu,mwanahabari huyo akamwambia kuna post imewekwaa kwenye facebook kuwa Yoya amefarikii dunia je,umesha zipata?akamuuliza.

Lionel akawa kama na yeye anapigwa na butwa nakumwambia mwanahabari Muheshimiwa Ismail Niyonkuru kuwa si za kwelii haamini kama ni kweli kama Yoya kawa amefariki nakumomba mwanahabari Muheshimiwa Ismail Niyonkuru amsubiri kama dakika kama 10' ampigie na yeye simu.

Muda kidogo mwanahabari Muheshimiwa Ismail Niyonkuru ikambidi ajaribu kumuandikia kwenye mtandao wake wa whatsapp inawezekana alishindwa kupokea sim yake kwa kutokana anaweza kuwa amelala ndo kwa maana hakuweza kuipokea ila akiamkaa ataona hizo message za kwenye whatsapp.
Hii ndo post ya kutoka facebook iliyo tangaza kuwa Yoya kafariki dunia
Ila muda huwo huwo akamuona msanii huyo iko online ndipo mazungumzo yakaanza,baadae akajaribu kumuomba aweze kumuweka moja kwa moja kwenye kipindi chake cha Changamka show kilicho kuwa kinapita kwa muda huwo huwo ili aweze kuwatuliza roho mashabiki wakee.
Yoya aliweza kukubali na kusikika moja kwa moja,ndipo kuwambia mashabiki wake kama yeye ni mzimaa na wala hana ugonjwa wowote wala hata haumwi kitu chochote watulize roho fasi moja yeye ni mzimaa wa afya na hajui mtu huyo aliye andika hivyo ana kipi alicho lenga nakuendelea kuwaa kama anataka kuzitangaza habari zake za kifo basi asubiri siku atafariki azitangazee ila kwa sasa bado ni mzima wa afya.
Fahamu hayo yamezukaa baada ya hivi karibuni mwanamuziki huyo kumaliza kolabo kali ya kimataifa na mwanamuziki kutoka Rwanda anae julikana kwa jina la Alpha Rwirangira ambae alimkuta Bujumbura mwanamuziki huyo na kumuomba wafanye nae kazi pamoja.
 


Mtandao huu unatumia fursa yakumuombea kwa Mungu mwanamuziki huyo kumpa maisha marefuuu ya Afya na yenye mafaanikio kwa kazi zake...Wakuache ujifiye na raha....pamoja na Mot de passe zakooo.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi