Imeanza kama filamu vile...ilikuwa juzi kati,ndo kwa mara ya kwanza inasemekana Sat-b alikutana na huyu dada pande za African Sound Record ambayo ni label aliyomo mwanamuziki huyu.
Inasemekana huyu dada ni ka dada kenye madili madili yake fulani fulani yahusuyo maswala ya Marketing kwenye mtandao wa Simu za mkononi wa Smart Mobile.
Huyu dada yeye ndie alikuwa kwa namna moja ama nyingine akisimamia lile tangazo la Fifa World Cup linalo simamiwa na shirika la soka dunianii Fifa.
Dada huyu hajamnyima tu mwanamuziki Sat-b usingizi hapana,anawanyima pia usingizi na kuwatowa ukondaa pindi wamuonapo watu maarufu hususani wachezaji wa soka,imebainikaa kuwa tangazo hilo la Fifa World Cup lilianza kutengenezewa siku ile timu ya taifa ya Intamba Mu Rugamba ilipo wasili kwenye uwanja wa ndege wakitokea Botswana ikawa hilo tangazo litachukuwa picha kadhaa za wachezaji wa timu ya taifa wakicheza cheza na mpira na baadae kuzichanganya kwa kuziunga na zingine za watu maarufu na hapo litakuwa limekamilika.
Umoja mwa wahusikaa wakuja kutengeneza tangazo hilo kule kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura huyo mwana dada alikuwepo,inasemekana wachezajii wa timu ya taifa wale wenye roho fupi wasiyo jikazaa wakaanza kumeza matee...huku kila mmoja akihahahaahaa kutafuta japo basi hata Contact zake.
Inasemekana goli kipa wa timu ya taifa ya Intamba mu rugamba ajulikanae kama Arakaza Mc Arthur alikuwa miongoni mwa waliyo ingiwa na presha pindi alipo muona mrembo huyo wa kizunguu.
Kwa sasa imeanza kutonya kwa fununu kuwa mwanadada huyo anatoka na mwanamuziki ambae ni mume wamtu na ni baba wa mtoto umoja ajulikanae kama Bizimana Abubakari Karume rais wa Kany EMPRE.
Kwenye pita pita zetu za kila siku tulikuta kitu kwenye mtandao wa whatsapp wa mkali huyo wa "Nyandikaa" tulikuta picha ya pamoja mwanamuziki huyo na mrembo huyo wa kizunguu huku chini yake kukiandikwa kwenye Status kuwa "I'm wait for you" akitaka kumaanisha "I'm waiting for you" yani ntakusubiri au nakusubiri.
Hayawiiiiiiiiii Hayawiiiiiiiiiiiii yameanzaaa kutonyaaa....wajikuachi ujifiye na rahaaaa eee ndo yule wa Niandikee huyo uliokuwa ukiliya eti akuandikee kwenye kitabu cha wapenzi wakeee....sasa kasha kuandikaa au?twambie basii....
Inasemekana huyu dada ni ka dada kenye madili madili yake fulani fulani yahusuyo maswala ya Marketing kwenye mtandao wa Simu za mkononi wa Smart Mobile.
Hii ndo picha ya Sat-b na Kella ambayo ipo kwenye profil ya whatsapp ya mwanamuziki huyo. |
Dada huyu hajamnyima tu mwanamuziki Sat-b usingizi hapana,anawanyima pia usingizi na kuwatowa ukondaa pindi wamuonapo watu maarufu hususani wachezaji wa soka,imebainikaa kuwa tangazo hilo la Fifa World Cup lilianza kutengenezewa siku ile timu ya taifa ya Intamba Mu Rugamba ilipo wasili kwenye uwanja wa ndege wakitokea Botswana ikawa hilo tangazo litachukuwa picha kadhaa za wachezaji wa timu ya taifa wakicheza cheza na mpira na baadae kuzichanganya kwa kuziunga na zingine za watu maarufu na hapo litakuwa limekamilika.
Umoja mwa wahusikaa wakuja kutengeneza tangazo hilo kule kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura huyo mwana dada alikuwepo,inasemekana wachezajii wa timu ya taifa wale wenye roho fupi wasiyo jikazaa wakaanza kumeza matee...huku kila mmoja akihahahaahaa kutafuta japo basi hata Contact zake.
Inasemekana goli kipa wa timu ya taifa ya Intamba mu rugamba ajulikanae kama Arakaza Mc Arthur alikuwa miongoni mwa waliyo ingiwa na presha pindi alipo muona mrembo huyo wa kizunguu.
Kwa sasa imeanza kutonya kwa fununu kuwa mwanadada huyo anatoka na mwanamuziki ambae ni mume wamtu na ni baba wa mtoto umoja ajulikanae kama Bizimana Abubakari Karume rais wa Kany EMPRE.
Kwenye pita pita zetu za kila siku tulikuta kitu kwenye mtandao wa whatsapp wa mkali huyo wa "Nyandikaa" tulikuta picha ya pamoja mwanamuziki huyo na mrembo huyo wa kizunguu huku chini yake kukiandikwa kwenye Status kuwa "I'm wait for you" akitaka kumaanisha "I'm waiting for you" yani ntakusubiri au nakusubiri.
Hayawiiiiiiiiii Hayawiiiiiiiiiiiii yameanzaaa kutonyaaa....wajikuachi ujifiye na rahaaaa eee ndo yule wa Niandikee huyo uliokuwa ukiliya eti akuandikee kwenye kitabu cha wapenzi wakeee....sasa kasha kuandikaa au?twambie basii....
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!