Kundi la G7 la nchi zinazoongoza kwa viwanda duniani limetishia
kuiwekea Russia vikwazo zaidi kutokana na mgogoro wa Ukraine. Taarifa ya
kundi hilo linalozijumuisha nchi za Marekani, Canada, Ujerumani,
Ufaransa, Uingereza, Japan na Italia imeitaka Moscow kuacha kile
ilichokitaja kuwa ni 'kuvuruga hali ya ndani ya Ukraine' au wataiwekea
vikwazo zaidi.
Wakati huo huo Rais Barack Obama wa Marekani imeituhumu Moscow kuwa inatumia 'mbinu giza' za karne ya 20 nchini Ukraine, na kuahidi kukabiliana na kile alichodai ni uingiliaji wa Russia huko mashariki mwa Ukraine. Obama amesema hayo huko Brussels anakohudhuria mkutano wa kundi la G7

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!