Siku mbili zilizopita ndio picha ya kwanza ya Diamond alipokutana na
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ilitoka,
walikutana New York na haikujulikana kama kuna kolabo inanukia.
Ilipoanza kolabo ya kimataifa ya wimbo aliofanya na Davido headlines za Diamond zilizidi uzito Afrika lakini kama hii inayoshughulikiwa itafanikiwa basi headlines zake ndio zitakua nzito kuliko.
Sasa kolabo inayonukia sasa hivi ni ya staa wa muziki kutoka Marekani ambae ni Trey Songz ambae taarifa za ndani zilizo patikana zilisema kwamba kama kolabo hii ikifanikiwa basi Rais Kikwete atakua ameshiriki kuiunganisha kwa asilimia zaidi ya 90.
Kwenye hii picha President ameonekana akiwa karibu sana na meneja wa Trey Songz na waliongea kwa kirefu, kwa sababu President siku zote anasupport sana Wasanii wake wa Tanzania.
Baada ya Diamond kukutana na Rais kwenye hicho kikao na meneja wa Trey Songz, Diamond alitumia time yake kuandika ya moyoni maneno haya yafwatayo.
"Wapi Utampata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani...akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na mdau mkubwa duniani katika tasnia uliyopo ili kuhakikisha tu unafikia malengo na ndoto ya kazi zako...Dah! Asante sana Mh Rais, Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusimamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako"

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!