Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » #ROAD TO BRAZIL# KAMA ULIKUWA HAUJUI BASI KWA MARA YA KWANZA RANGI ITATUMIKA KWENYE KOMBE LA DUNIA,SWALI JE,RANGI HIYO ITATUMIKAJE?MAJIBU YOTE HAPA

#ROAD TO BRAZIL# KAMA ULIKUWA HAUJUI BASI KWA MARA YA KWANZA RANGI ITATUMIKA KWENYE KOMBE LA DUNIA,SWALI JE,RANGI HIYO ITATUMIKAJE?MAJIBU YOTE HAPA

Written By Unknown on Friday, 6 June 2014 | Friday, June 06, 2014

ZIMESALIA SIKU SITA KABLA YA KOMBE LA DUNIA
Je wajua kwamba...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Dunia, rangi itatumika na waamuzi kuweka alama uwanjani wakati wa free kick. Rangi hiyo ambayo hutengenzwa kwa kutumia zaidi maji, itatumika kuweka alama mahala hasa kosa au 'foul' ilipotokea ili mpira uwekwe hapo bila kusogezwa. Pia rangi hiyo itatumika kuchora mstari ambao timu inatakiwa "kujenga ukuta". Hii itaepusha wachezaji kuusogelea mpira kabla free kick haijapigwa. Rangi hiyo ni nyeupe na hufutika baada ya kama dakika moja. FIFA iliidhinisha matumizi ya rangi hiyo katika Kombe la Dunia 2014, baada ya kutumiwa na kupata mafanikio katika Kombe la Dunia kwa vijana chini ya miaka 20, mwaka 2013, Kombe la Dunia chini ya miaka 17, mwaka 2013, na katika Kombe la Dunia la vilabu mwaka 2013.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi