Muswada wa marekebisho ya katiba katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo umepasishwa katika kikao cha dharura cha tume ya mawaziri. Muswada
huo unaoandaa mazingira ya kumuongezea muhula wa kubakia madarakani
Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo, umepelekwa bungeni uli upigiwe kura.
Serikali ya Kinshasa sambamba na kuashiria matatizo yaliyojiri kwenye uchaguzi uliopita, imesema kuwa imechukua uamuzi huo ili kuzuia kutokea hitilafu katika uchaguzi. Hitilafu zilizojitokeza kati ya wapinzani na chama tawala katika uchaguzi wa rais wa mwaka 2011 nchini Kongo, zilipelekea kuibuka mgogoro wa kisiasa nchini humo. Tangu huko nyuma viongozi wa vyama vya upinzani walitangaza kuwa, kamwe hawatokubali katiba kufanyiwa marekebisho

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!